Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madagascar wao si ni wageni pia? Ila cha kushangaza wanapasua tu anga.Kocha wenu anasema ni ugeni wa mashindano
Leo nampa Algeria Ushindi.Hahahahahaha...
Algeria kashinda la kwanza.
Algeria mgumi saana.Leo nampa Algeria Ushindi.
Bado Madagascar yupo. Si yupo Africa Mashariki pia ?Africa Mashariki na kati wote chalii!
Hongera kwa utabiri.DRC anatoka
Naona algeria anatetea jumuia ya waarabu [emoji1][emoji1]Hahahahahaha...
Algeria kashinda la kwanza.
Yes...Algeria anjitahidi saana...nachompendea hakai na mpira saana ila akishaupata lazima liwe shambulizi la kueleweka.Naona algeria anatetea jumuia ya waarabu [emoji1][emoji1]
Ipo Kusini Mashariki! ndio maana sio mwanachama wa EAC ila ni mwanachama wa SADC.Bado Madagascar yupo. Si yupo Africa Mashariki pia ?
Hizi mechi zinaonyeshwa channel gani?Sasa nahamia Brazil. Peru wana confo ndo wanaimba wimbo wao wa taifa.
startimeHizi mechi zinaonyeshwa channel gani?
I meant to ask DSTV.startime
Mimi naangalia Beinsport.Hizi mechi zinaonyeshwa channel gani?