Utashangaa kuna Range ya Sedan.Mie jamaa sijapenda hii trend yao ya sasa ya kuzalisha Range Rover za aina nyingi. Bora wangebaki mbili kama mwanzo.
Hehehee, kabisa. Kuna jamaa humu alilalamika juzi kwamba Range Rover zina muonekano wa kike. Ila sababu ni hiyo. Nawish hizo Evoque na Velar wangeziita majina mengine siyo Range Rover. Wanafanya kama Samsung. Yaani unaweza nunua Galaxy ya Bei, ukipita kitaa unakuta mchizi naye ana galaxy illa yake ya bei ndogo. Ila mwisho wa siku wote mna Samsung Galaxy. Inakuwa sio special any more.
Hata Discovery 5 haijakaa kama 4 au 3.Hehehee, kabisa. Kuna jamaa humu alilalamika juzi kwamba Range Rover zina muonekano wa kike. Ila sababu ni hiyo. Nawish hizo Evoque na Velar wangeziita majina mengine siyo Range Rover. Wanafanya kama Samsung. Yaani unaweza nunua Galaxy ya Bei, ukipita kitaa unakuta mchizi naye ana galaxy illa yake ya bei ndogo. Ila mwisho wa siku wote mna Samsung Galaxy. Inakuwa sio special any more.
Kuna Evoque, Freelander na Velar hizi model sizielewi kabisa.Hehehee, kabisa. Kuna jamaa humu alilalamika juzi kwamba Range Rover zina muonekano wa kike. Ila sababu ni hiyo. Nawish hizo Evoque na Velar wangeziita majina mengine siyo Range Rover. Wanafanya kama Samsung. Yaani unaweza nunua Galaxy ya Bei, ukipita kitaa unakuta mchizi naye ana galaxy illa yake ya bei ndogo. Ila mwisho wa siku wote mna Samsung Galaxy. Inakuwa sio special any more.
Kwa kweli kabisa, hata reviewers wengi wanaziponda. Evoque ina matatizo mengi saana. Ni vile jina la Range Rover tu linazibeba.
Mkuu tatizo sio uwezo ila watu hawana hobbies kama huku Ulaya
Huku watu wana plan ya mwaka mzima wa matukio ya kila aina kuanzia watoto mpaka watu wakubwa
Na unakuta watu wanapendana kwa hobby zinazofanana na wanakuwa na furaha ya ajabu
Sio kama kwetu mtu na mke wake ugomvi hauishi kwa sababu hawana kitu chochote wanachofanana [emoji20][emoji20]
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahah road trips mtu akifikiria tu khs ma-traffic huko barabarani anaona sio inshu ngoja nipotezee.Hiyo inaukweli aise. Sisi huku TV tuu tunagombania. Wewe unataka kuangalia mpira, wife anataka tamthilia. Kupata furaha kwenye vitu vidogo inakuwa ngumu. Hata road trips tu zinatushinda. Plans zinagoma.
Amen mkuu.Ipo siku tunaweza kukutana huku
You never know mkuu
Napenda sana fastcars
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Muda huo gari zote zitakuwa za umeme, combustion engines will be no moreHawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.
Hivi C class sindio Corrolla za Benz?Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Lexus bado anawatoa chafya ile LS ni next level!Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Waarabu wataishije sasa,maana wanategemea mafutaMuda huo gari zote zitakuwa za umeme, combustion engines will be no more
German ni fun to drive cars, zipo stable sana na comfortability ni ya hali ya juu. Ila linapokuja swala la Reliability sio kitu ambacho wanakiona muhimu. Sahivi wamehamia kwenye turbocharged engines na kupunguza pistons.Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuu
A,Q na Rs na S line zimetapakaa sana siku hizi zipo ndogo A1 mpaka A8
Ziko poa sana
Ila kuna gari ilikuwa ya Czech na wamenunua vw inaitwa Skoda ni bei rahisi na ni nzuri sana hata kwa uendeshaji wake
Niliendesha Octavia imetulia sana
Kwa kweli German ni habari nyingine kwa gari zake zote
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wataendelea kuwauzia waendesha mitambo, nadhani sie bado tutakuwa na Hybrid Cars ambazo bado zinatumia mafuta japo vibopa watakuwa kwenye gari za kucharge. Kina Mo_DewjiWaarabu wataishije sasa,maana wanategemea mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Point haswa umetoaGerman ni fun to drive cars, zipo stable sana na comfortability ni ya hali ya juu. Ila linapokuja swala la Reliability sio kitu ambacho wanakiona muhimu. Sahivi wamehamia kwenye turbocharged engines na kupunguza pistons.
Huwezi kununua gari $180,000 halafu ndani ya miaka mitatu tu tu thamani ikawa imefika dollar $80,000! Na likishamaliza ile service plan yao waliokuwekea linaanza kukukamua kisawa sawa with series of problems. Taa ya check engine inawaka kila mara. We ni garage tu ukisolve hili linaibuka jipya. Inakukung'uta mfuko mpaka akili zitakukaa sawa na service yake sio zile za laki 2. Unazungumzia ma "M" kama gari yako ni very current.
Hii haioni kitu kwa audi A8 2019 mkuu.Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.
Nilianza kupenda fast cars miaka ya thamanini na 81 ndio nikanunua gari langu la kwanza Nissan Skyline GT V6 ya 1989Amen mkuu.
Hobby iko poa sana hio.,huku kwetu track ni shida tu bado tunajikongoja mdogomdogo tu.
Unaweza kunipa top 3 ya fastest car ulizoziendesha na unazikubali so far mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Some of themAmen mkuu.
Hobby iko poa sana hio.,huku kwetu track ni shida tu bado tunajikongoja mdogomdogo tu.
Unaweza kunipa top 3 ya fastest car ulizoziendesha na unazikubali so far mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha jamaa wanatumia umeme mwingi kuliko mechanics na kila kukicha wanajaribu ku automate tu system zao. Hivyo ni haki kabisa kuvaa kidaktari kwa mbwembwe maana kuchafuka ni nadra sana.Point haswa umetoa
Kwa huku naziona Volvo cars ziko poa sana hata kwa usalama na uimara pia
Na sasa wanabadilisha gari zote kuwa na mfumo wa umeme
Na kila mwaka tunaona mabadiliko huku mkuu ya magari mapya na bei inazidi kupanda sana
Hata mechanics wa huku hawachafuki kabisa [emoji3][emoji3]
Nilienda garage moja ya German cars jamaa wamevaa kama doctors
Hebu angalia hata Japanese wametoa gari za umeme kama Nissan Leaf kadogooo halafu gusa bei
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwa huku Ulaya wanahimiza utumiaji wa gari za umeme hata congestion charge kuingia mjini ni bure kama gari ni zero emissions na Road tax pia hulipiHahaha jamaa wanatumia umeme mwingi kuliko mechanics na kila kukicha wanajaribu ku automate tu system zao. Hivyo ni haki kabisa kuvaa kidaktari kwa mbwembwe maana kuchafuka ni nadra sana.
Hapo kwa m Sweden ni hatari faya, hizo gari makini sana no doubt!
Kwa EV Nissan leaf reviews zinasema perfomance yake sio nzuri sana kama ile ya Ford. But viko expensive sio mchezo mkuu, sijui TRA watavitozaje pale bandarini!