2019 Mercedes S Class

2019 Mercedes S Class

Utashangaa kuna Range ya Sedan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehee, kabisa. Kuna jamaa humu alilalamika juzi kwamba Range Rover zina muonekano wa kike. Ila sababu ni hiyo. Nawish hizo Evoque na Velar wangeziita majina mengine siyo Range Rover. Wanafanya kama Samsung. Yaani unaweza nunua Galaxy ya Bei, ukipita kitaa unakuta mchizi naye ana galaxy illa yake ya bei ndogo. Ila mwisho wa siku wote mna Samsung Galaxy. Inakuwa sio special any more.
 
Hata Discovery 5 haijakaa kama 4 au 3.

Napenda gari zenye boxy shape.

Kwanini hawajaretain model yao kama Merc G63 au G65? Ambao wana miaka almost 40 na muonekano uleule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee, kabisa. Kuna jamaa humu alilalamika juzi kwamba Range Rover zina muonekano wa kike. Ila sababu ni hiyo. Nawish hizo Evoque na Velar wangeziita majina mengine siyo Range Rover. Wanafanya kama Samsung. Yaani unaweza nunua Galaxy ya Bei, ukipita kitaa unakuta mchizi naye ana galaxy illa yake ya bei ndogo. Ila mwisho wa siku wote mna Samsung Galaxy. Inakuwa sio special any more.
Kuna Evoque, Freelander na Velar hizi model sizielewi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo sio uwezo ila watu hawana hobbies kama huku Ulaya
Huku watu wana plan ya mwaka mzima wa matukio ya kila aina kuanzia watoto mpaka watu wakubwa
Na unakuta watu wanapendana kwa hobby zinazofanana na wanakuwa na furaha ya ajabu
Sio kama kwetu mtu na mke wake ugomvi hauishi kwa sababu hawana kitu chochote wanachofanana [emoji20][emoji20]

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Hahah hapo kwny mtu na mkewe kugombana kisa hawana common hobbies nimecheka saaana aisee;maana ni ukweli wa dhahiri.

Mtu akitoka kazini ni kwenda bar,kurudi home kulala mpk mtu anastaafu hanaga hobby nyingine labda kubadili wanawake/wanaume ndio hobby yake nyingine hahah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inaukweli aise. Sisi huku TV tuu tunagombania. Wewe unataka kuangalia mpira, wife anataka tamthilia. Kupata furaha kwenye vitu vidogo inakuwa ngumu. Hata road trips tu zinatushinda. Plans zinagoma.
Hahah road trips mtu akifikiria tu khs ma-traffic huko barabarani anaona sio inshu ngoja nipotezee.

Hapa dar nna ndg zangu najua kabisa hawajawahi kuendesha gari kutoka nje ya dar kwenda hata hapo bagamoyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.

Muda huo gari zote zitakuwa za umeme, combustion engines will be no more
 
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Hivi C class sindio Corrolla za Benz?
 
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Lexus bado anawatoa chafya ile LS ni next level!
Na bado Japan anazidi kuteka Soko lake kwa kuzifanya gari zake fun to drive ame enhance luxury scale with perfomance huku akimaitain reliability kwa kustic to naturally aspirated engines.
Wazungu wengi walio financially concious wanaziita Germany cars ni money pits, walioswitch kwenye Lexus wanazisifu kwa Reliability.
Wanadai with Lexus less time is spent in garage than the time the car is on road compared to BMW or Benz. German cars are high in performance and fun to drive but ndio hivyo trip moja road 3 Garage! Zinakwangua account balaa with high maintanance costs. Better leasing than buying them maana zinaloose value haraka mno compared to lexus.
 
Lakini Audi zipo sana na zinauzikana sana mkuu
A,Q na Rs na S line zimetapakaa sana siku hizi zipo ndogo A1 mpaka A8
Ziko poa sana
Ila kuna gari ilikuwa ya Czech na wamenunua vw inaitwa Skoda ni bei rahisi na ni nzuri sana hata kwa uendeshaji wake
Niliendesha Octavia imetulia sana
Kwa kweli German ni habari nyingine kwa gari zake zote
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
German ni fun to drive cars, zipo stable sana na comfortability ni ya hali ya juu. Ila linapokuja swala la Reliability sio kitu ambacho wanakiona muhimu. Sahivi wamehamia kwenye turbocharged engines na kupunguza pistons.
Huwezi kununua gari $180,000 halafu ndani ya miaka mitatu tu tu thamani ikawa imefika dollar $80,000! Na likishamaliza ile service plan yao waliokuwekea linaanza kukukamua kisawa sawa with series of problems. Taa ya check engine inawaka kila mara. We ni garage tu ukisolve hili linaibuka jipya. Inakukung'uta mfuko mpaka akili zitakukaa sawa na service yake sio zile za laki 2. Unazungumzia ma "M" kama gari yako ni very current.
 
Point haswa umetoa
Kwa huku naziona Volvo cars ziko poa sana hata kwa usalama na uimara pia
Na sasa wanabadilisha gari zote kuwa na mfumo wa umeme
Na kila mwaka tunaona mabadiliko huku mkuu ya magari mapya na bei inazidi kupanda sana
Hata mechanics wa huku hawachafuki kabisa [emoji3][emoji3]
Nilienda garage moja ya German cars jamaa wamevaa kama doctors
Hebu angalia hata Japanese wametoa gari za umeme kama Nissan Leaf kadogooo halafu gusa bei

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi, inafurahisha kujua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa magari.
Hii haioni kitu kwa audi A8 2019 mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen mkuu.

Hobby iko poa sana hio.,huku kwetu track ni shida tu bado tunajikongoja mdogomdogo tu.

Unaweza kunipa top 3 ya fastest car ulizoziendesha na unazikubali so far mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilianza kupenda fast cars miaka ya thamanini na 81 ndio nikanunua gari langu la kwanza Nissan Skyline GT V6 ya 1989
1982 nikauza nikanunua brand new GT
Baada ya hapo nikawa nabadilisha nikanunua Nissan 280Z then Mustang
Mwisho nikaona isiwe shida nikaanza kuwa naenda Auctions na kununua fast cars na kupiga paint kama inahitajika halafu nabadilisha rims na kuweka za ghali halafu natamba nayo kwa muda naiuza

Niliyokuwa naipenda zaidi ni skyline gt ya 1977 ntaweka picha yake hiyo ilikuwa shetani aliyoitengeneza mjapani haitatokea
Baada ya hapo nikachukua Dodge Charger 450 hp mamaaaaaaa
Hili nikimbeba mtu lazima arudi na bus maana atalia barabara nzima
Kwa sasa tangu nimehamia huku nilipo nimeendesha chache sana kama R8 Audi na jaguar F-Type ni dude
Ntaweka picha zake
Siku zingine huwa naenda Knightsbridge kuangalia watoto spoiled wanaotamba na the most powerful and expensive cars
I am bit old now but i love fast cars bro na pia huwa sipitwi kwenye racing Silverstone

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Amen mkuu.

Hobby iko poa sana hio.,huku kwetu track ni shida tu bado tunajikongoja mdogomdogo tu.

Unaweza kunipa top 3 ya fastest car ulizoziendesha na unazikubali so far mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Some of them
723446559.jpg
1162640563.jpg
1237765462.jpg
1603282735.jpg
422780725.jpg

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Attachments

  • 1760069917.jpg
    1760069917.jpg
    86.9 KB · Views: 26
Point haswa umetoa
Kwa huku naziona Volvo cars ziko poa sana hata kwa usalama na uimara pia
Na sasa wanabadilisha gari zote kuwa na mfumo wa umeme
Na kila mwaka tunaona mabadiliko huku mkuu ya magari mapya na bei inazidi kupanda sana
Hata mechanics wa huku hawachafuki kabisa [emoji3][emoji3]
Nilienda garage moja ya German cars jamaa wamevaa kama doctors
Hebu angalia hata Japanese wametoa gari za umeme kama Nissan Leaf kadogooo halafu gusa bei
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahaha jamaa wanatumia umeme mwingi kuliko mechanics na kila kukicha wanajaribu ku automate tu system zao. Hivyo ni haki kabisa kuvaa kidaktari kwa mbwembwe maana kuchafuka ni nadra sana.
Hapo kwa m Sweden ni hatari faya, hizo gari makini sana no doubt!
Kwa EV Nissan leaf reviews zinasema perfomance yake sio nzuri sana kama ile ya Ford. But viko expensive sio mchezo mkuu, sijui TRA watavitozaje pale bandarini!
 
Kwa huku Ulaya wanahimiza utumiaji wa gari za umeme hata congestion charge kuingia mjini ni bure kama gari ni zero emissions na Road tax pia hulipi
Sasa kama wangekuwa wanasaidia watu walete hayo magari na kuwashawishi makampuni ingebidi TRA nao wapunguze bei sana kwa magari ya umeme
Kwani hayo ndio magari ya future wapende wasipende
Na hayo ya mafuta ipo siku yatakuwa things of the past
Toyota Prius wanatumia sana cab drivers huku siku hizi ila wanakera sana barabarani maana wanaendesha polepole sana ili kutumia umeme tu yaani 30m/h
Lakini hapo mjapani kalamba dume mkuu
Kama zikiingia hizo huko kwa wingi Taxi na Uber watafaidi sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom