2019 Mercedes S Class

Sio kwa shithole country yetu hii mkuu, huku TRA wanaweza wakaigeuza mradi wa kujineemesha kwa kutupiga makodi makubwa. "Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzie!" ndio hali ilivyo huku kiongozi ila naona kwa hakika 20 years ahead Combustion engine zitakuwa zimbaki kwenye mashine tu na Commercial vehicles. Maana train si tayari!
Hizo EV zinafaa sana kwa town shunts, hasa ukipata yenye atleast 100km/h ama 60m/h walau speed itakuwa inaridhisha. Uber watakuwa wanapeta tu. Sema nahisi wenye kampuni watachezesha kikokotoo chao 😂😂😂 kwa EV's
 
Na kweli mkuu mwafrika anaapa kuliangamiza continent lake kwa kila namna
Yaani hatutaki maendeleo wala hatupendani na kama ni dawa tulipewa ya kuwa na roho ya hivyo basi jamaa wana akili sana
Sisi kila kauli ni ubabe au ya kumkandamiza mwananchi tu lakini maendeleo ni sifuri
Haya EV cars 2019 Audi ametoa 100% electric na Benz, Mini, Nissan leaf, BMW wote wameisha toa 100% electric
Lakini mkuu kama ni umeme zinakimbia sana ila tatizo hazina sauti kabisa
Hapo yakija huko honi lazima ziongezeke kwa sana [emoji3][emoji3]
Mkuu Africa watu sijui laana ya wapi imetupata yaani kuendelea ni mwiko kwetu kabisa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tesla motors sahivi kazi wanayo! Maana huo mfumo utakuwa kama android alivyokuja kumuangamiza Symbian na Java kwenye Nokia. Sahivi kila kampuni linapambana kutengeneza EV!
Nmeiona ile Benz EQC4 kama sijakosea..imesimama kuanzia styling mpaka ride quality reviewers wanasema its all quiet in the Cabin. Maybe wabongo tutahamia benz sasa maana zile purukushani za kujaza V8's or V12's ilikuwa ligi kubwa. Ila hizi EV atleast kila mtu ana umeme kwake tutachaji tu kama simu.
Ila kwenye sauti hapo inabidi watutengenezee simulator za engine sounds tunazotaka ziwe zinapiga kwa speakers za redio ndani. Maana gari bila muungurumo ndio inakuwaje sasa, yani unakuwa kama unaendesha toy!
 
Tesla they have to play by the same rules kama watengenezaji wengine maana bei zake mmh kama hiyo moja anauza $35000 halafu eti akiweka na autopilot ni $39500 wakati wenzake kila kitu wanataka iwe standard
Sasa itabidi tuanze kuzizoea tu EV na magari makubwa bye bye


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
500Mill nyingi kwa mimi na wewe mkuu watu kama kina Bakhresa,Mengi huyu mwindi mjanja mjanja wakuitwa Manji wakiamua wanaisukuma hiyo ndinga hapa bongo tatizo ni pale waokota makopo watakapoanza kutoa toa hizo nembo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hahah road trips mtu akifikiria tu khs ma-traffic huko barabarani anaona sio inshu ngoja nipotezee.


Hapa dar nna ndg zangu najua kabisa hawajawahi kuendesha gari kutoka nje ya dar kwenda hata hapo bagamoyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo bado potholes kibao kila kona, unakata tamaa mwenyewe.
 
Hii Nissan Skyline GT ina legacy kubwa. Nafikiri Nissan GTR ime descend from Nissan Skyline GT.
 
Lexus kwa kweli ni very reliable. Hata zile za mwanzo. Mtu most people waliowahi kununua Lexus, lazima watarudi tena. Na kuna LS nyingi saana toleo la kwanza bado ziko barabarani mpaka leo kwenye hali nzuri kabisa.
 
Muda huo gari zote zitakuwa za umeme, combustion engines will be no more
Tunaelekea huko. Wakiweza kufanikisha kuzi full charge in 10mins na kwenda umbali mrefu, waarabu watakoma. Mafuta yatawadodea.
 
Unajua wazungu wana umeme wa kutosha. Wao wanajiruhusu kutumia umeme wa Nuclear bila shida kabisa, ila wanawakataza waarabu. So, very soon, watahamia kwenye umeme, na mafuta yatakwisha thamani, mwisho wa siku, waarabu watashuka chini na kujikomba kwa wazungu kupata hiyo technology. China ndio itakuwa tishio zaidi.
 
Hata Discovery 5 haijakaa kama 4 au 3.

Napenda gari zenye boxy shape.

Kwanini hawajaretain model yao kama Merc G63 au G65? Ambao wana miaka almost 40 na muonekano uleule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani. Discovery la zamani lilikuwa na sura ngumu, safi sana. Yaani G Class inazidi kupendwa sababu ya hilo sura lake. Jamaa wanaharibu zaidi. Umeshaisikia Defender mpya? Yaani ni bora hata na Jimny mpya kwa kweli.
 
Hii ni kweli kabisa. Na gari zao bila kuwa kwenye warrant ni balaa. Kuna jamaa yangu ana S Class ya 2016, iliungua taa ya kwenye kitasa cha mlango cha nje, kwenda kwa dealer, walimkamua dola 250 kubadilisha bulb tuu.
 
Volve watachukua dunia hivi karibuni. XC90, XC60, XC40 zinasifiwa saana kwa features kibao.
 
Rwanda wanaelekea huko. Nafikiri ni VW wamefungua plant huko, wanataka kuzalisha gari za umeme zinazokidhi mazingira ya kwetu.
 
Hii Nissan Skyline GT ina legacy kubwa. Nafikiri Nissan GTR ime descend from Nissan Skyline GT.
Yupo jirani yangu hapa nyumba ya 3 anayo R34 kaagiza kutoka japan maana hapa ni ghali sana kwa wakala especially GT-R hii ni mashine ingine mkuu ni balaa halafu bei zake ziko juu sana
Wakati huo kulikuwa na mechanic mmoja alikuwa anatufungia mtungi wa gas kwa racing
Ooh those days

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…