Yes. Unacharge Mwanza, then jioni ukiwa Moro unacharge ya kumaliza kipande cha Moro Dsm. Itakuwa poa saana.
China wanatengeneza EV vehicles za bei rahisi style kama ya vits vile. Viko priced kuanzia $5000Yes, lazima viwandani mafuta yatatumika tuu. Japo watakuwa affected saana. Maana magari yanayatumia kwa kiwango kikubwa saana. China very soon watawafunika wazungu kwenye karibu kila kitu kiuchumi.
Hii ni very affordable. Kama ikiwa haina reliability issues, basi ni a very good deal.China wanatengeneza EV vehicles za bei rahisi style kama ya vits vile. Viko priced kuanzia $5000
Daa! Umenikumbusha enzi hizo. Yaani unacharge simu for more than 3hrs, halafu inaishiwa charge saa nne asubuhi. Kweli, Tesla wameanza vizuri. Kuna jamaa wanaitwa Rimac, wako vizuri. Wanatengeneza super cars za umeme. Soon zitakuwa mass produced. Maan kwa sasa ni limited editions tu nadhani.Itakuwa mzuka sana, lakini naamini wataweza tu. Kama android zilianza na masaa 4 simu imekata charge hadi leo wameijulia simu inaweza dunda 24hrs bila kuzima charge naamini ni swala la muda tu utakuwa ukitumia units 3 tu za umeme zinakufikisha Dodoma.
Hehehee, jamaa kinachowaokoa, wana uwezo wa kuspend pesa leo kwa faida ya baadae. US kuna stock kubwa saana ya mafuta, ila bado wananunua ya kutoka uarabuni. Nafikiri wanasuburi mpaka ya waarabu yaishe, ili waanze kuwauzia wao bidhaa yao wenyewe kama tunavyouziwa tanzanite zetu.Unajua miaka 100 iliyopita magari ya umeme yalitengenezwa na yalikuwepo ila biashara ya mafuta ilipoanza tu wakaona huko ndio kwenye faida zaida
Wakaamua kuzima kabisa hayo magari
Na sasa wameona waanzishe tena hii biashara
Yaani hawa wazungu watatupelekesha mpaka kiama kinaingia [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Tatizo ni kwamba, sidhani kama kuna mweusi mwingine atakayerithi viatu vyake kwa miaka kadhaa ijayo.Ni mkali kwa kweli na anapambana kweli
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Unajua, kwa nchi zetu za Africa, wasomi ndio maana wanaishiwa kuajiriwa na kulipwa pesa kidogo. Kazi nyingi za magari zinaonekana ni kazi chafu chafu za kufanywa na watu walioshindwa shule. Kuanzia udereva, ufundi etc Lakini mie naona sio sawa kabisa. Ile ni kazi inayohitaji watu makini saana. Maana inahusisha uhai wa binadamu na vitu vyenye thamani kubwa sana kuichukulia juu juu hivi. Tunatakiwa tubadilike ndio tutaweza kudeal na gari kama hizo.Kidogo ni ngumu kuielewa lakini ukiishazoea haina shida kabisa na hiyo infotainment yake ni nzuri
Ila huko zikija kwanza lazima wawepo mafundi waliosomea na kujifunza system zake
Mkuu najua kila kitu ni compiter inakuambia kama ni faulty lakini hao ni engeneer sasa sio mechanics tena ama?
Maana vitu vingi vinakuja kama standard kwa ushindani
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ni ujinga na fikra za wengi ziko hivyoUnajua, kwa nchi zetu za Africa, wasomi ndio maana wanaishiwa kuajiriwa na kulipwa pesa kidogo. Kazi nyingi za magari zinaonekana ni kazi chafu chafu za kufanywa na watu walioshindwa shule. Kuanzia udereva, ufundi etc Lakini mie naona sio sawa kabisa. Ile ni kazi inayohitaji watu makini saana. Maana inahusisha uhai wa binadamu na vitu vyenye thamani kubwa sana kuichukulia juu juu hivi. Tunatakiwa tubadilike ndio tutaweza kudeal na gari kama hizo.
We never know mkuuTatizo ni kwamba, sidhani kama kuna mweusi mwingine atakayerithi viatu vyake kwa miaka kadhaa ijayo.
KabisaHehehee, jamaa kinachowaokoa, wana uwezo wa kuspend pesa leo kwa faida ya baadae. US kuna stock kubwa saana ya mafuta, ila bado wananunua ya kutoka uarabuni. Nafikiri wanasuburi mpaka ya waarabu yaishe, ili waanze kuwauzia wao bidhaa yao wenyewe kama tunavyouziwa tanzanite zetu.
Dah sijawahi wasikia ila itabidi niwatafute hao Rimac niwajue vizuri. Tesla wako njema, wana gari ya kutembea 500km on a single charge.Daa! Umenikumbusha enzi hizo. Yaani unacharge simu for more than 3hrs, halafu inaishiwa charge saa nne asubuhi. Kweli, Tesla wameanza vizuri. Kuna jamaa wanaitwa Rimac, wako vizuri. Wanatengeneza super cars za umeme. Soon zitakuwa mass produced. Maan kwa sasa ni limited editions tu nadhani.
Yeah yani vile ata kwa uber bongo ni cheap. Ukipata cha $10000 kinakuwa kizuri zaidi kwenye mileage.Hii ni very affordable. Kama ikiwa haina reliability issues, basi ni a very good deal.
Kabisa. Huku kweli hayo mambo ni magumu saana. Barabara za kutumia tu hazina lami, ndio tuanze kujenga race track. Bado saana. Acha tuendelee kupambana na football ππWe never know mkuu
Ni bahati yake pia baba yake kumpeleka go carting ndio akawa hodari na kupenda
Wanaweza kutokea tena
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Very true. Inaturudisha nyuma saana. Matokeo yake, wakija wazungu, Wachina wanapiga bao. Kumekuwa na garage for ages hata Bongo. Ila juzi juzi wamekuja Wachina, wametutoa sokoni kabisa. Vile hizo kazi tunazichukulia poa. Wakati ni kazi zinazohitaji utaalamu wa hali ya juu na usomi. Mabasi yetu tu ya mwendokasi ndio mfano mzuri. Ukiona repairs wanazofanya unajua kabisa aliyeachiwa ni mzinguaji. Sasa ngoja hilo dude la umeme tuone. I hope wataanza kuaanda mafundi mapema.Ni ujinga na fikra za wengi ziko hivyo
Kweli wengi wanaona hivyo unavyosema
Na tutabaki nyuma tu
Angalia train za umeme zinazokuja kwa sasa watu hawajui hizo ajira zitahusu nini
Lakinj kazi zikianza ndio utaona wanavyohaha na kuajiri ndugu wwsiojua kitu na matokeo yake utayaona
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
500km ni nyingi za kutosha kwa kweli. Hiyo kwa matumizi ya mjini, unacharge once a week maisha yanaendelea. Sema nimesoma sehemu kuwa ukicharge kwa umeme wa ndani inachukua muda mrefu saana kujaa. Hapo nafikiri kwa Bongo ndio itakuwa kimbembe.Dah sijawahi wasikia ila itabidi niwatafute hao Rimac niwajue vizuri. Tesla wako njema, wana gari ya kutembea 500km on a single charge.
500km ni nyingi za kutosha kwa kweli. Hiyo kwa matumizi ya mjini, unacharge once a week maisha yanaendelea. Sema nimesoma sehemu kuwa ukicharge kwa umeme wa ndani inachukua muda mrefu saana kujaa. Hapo nafikiri kwa Bongo ndio itakuwa kimbembe.
[/QUOTEInaweza chukua mpaka 24 hrs kujaa kwa nyumbani.
Tuna safari ndefu sana tusiyoifikiaVery true. Inaturudisha nyuma saana. Matokeo yake, wakija wazungu, Wachina wanapiga bao. Kumekuwa na garage for ages hata Bongo. Ila juzi juzi wamekuja Wachina, wametutoa sokoni kabisa. Vile hizo kazi tunazichukulia poa. Wakati ni kazi zinazohitaji utaalamu wa hali ya juu na usomi. Mabasi yetu tu ya mwendokasi ndio mfano mzuri. Ukiona repairs wanazofanya unajua kabisa aliyeachiwa ni mzinguaji. Sasa ngoja hilo dude la umeme tuone. I hope wataanza kuaanda mafundi mapema.
Mkuu ni vigumu siku hizi kuona watu wakiwa na hobbies siku hiziKabisa. Huku kweli hayo mambo ni magumu saana. Barabara za kutumia tu hazina lami, ndio tuanze kujenga race track. Bado saana. Acha tuendelee kupambana na football ππ
Uzuri mbele wanakuwa na jinsi unalipa gari yako kila mwezi.Eeh man, thats better