Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Itakuwa mzuka sana, lakini naamini wataweza tu. Kama android zilianza na masaa 4 simu imekata charge hadi leo wameijulia simu inaweza dunda 24hrs bila kuzima charge naamini ni swala la muda tu utakuwa ukitumia units 3 tu za umeme zinakufikisha Dodoma.
Yes. Unacharge Mwanza, then jioni ukiwa Moro unacharge ya kumaliza kipande cha Moro Dsm. Itakuwa poa saana.