Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.