nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ulimboka alitekwa kipindi cha siasa safi, una neno hapo?Utekaji ni matokeo ya siasa chafu zilizoasisiwa na marehemu Magufuri.
Usalama na Siasa havihusiani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimboka alitekwa kipindi cha siasa safi, una neno hapo?Utekaji ni matokeo ya siasa chafu zilizoasisiwa na marehemu Magufuri.
Mada inamhusu mtekaji Magufuri na si vinginevyoUlimboka alitekwa kipindi cha siasa safi, una neno hapo?
Usalama na Siasa havihusiani.
Mjinga wewe upinzani ulikuwa imara kabla ya JPM lakini alipokuja akawa anapambana na upinzani kuliko maendeleo ya Watanzania kwa muda wa miaka mitano.Mimi ni chama pinzani na upinzani upo kwenye damu
Ila hoja za kijinga nitaendelea kuzipinga hata zikitoka kwa anayeaminika kwa wapinzani
Wainzani inatupasa tuwe na viongozi wanaoona mbaali sana kuliko kama huyu mleta uzi
JPM ndiye aliyeimarisha upinzani kwa sababu za ama alikuwa anakusudia ama kwa bahati mbaya, Yeye mwenyewe alikuwa ni mpinzani ndani ya maccm na ndiyo sababu ya yeye kuisrailiwa
Ni mtu mjinga tu ambaye ameendelea kuponda namna ya siasa za Magufuli, ni watu wajinga tu ambao hawana uono wa mbali
Ukiondoa hiyo miaka ya siasa mnazoziita zilikuwa ni maangamivu na uhalamia wa siasa nchini, leo sasa kiko wapi?
Kina Wembo wanakula bata na maccm halafu mnakaa kusingizia JPM
Wehu kabisa huu
Sasa ni vizuri kumuhusisha na yale yaliyotokea kwenye utawala wake tu...Mada inamhusu mtekaji Magufuri na si vinginevyo
Mwasisi wa maujinga hayo ni yeye.Sasa ni vizuri kumuhusisha na yale yaliyotokea kwenye utawala wake tu...
Ukimhusisha kwenye kila jambo hadi haya yanayotokea leo, mimi takuita mpumbafu na mpuuzi.
WALOLA VUNZYA! Staki niseme chochote kukuhusuMjinga wewe upinzani ulikuwa imara kabla ya JPM lakini alipokuja akawa anapambana na upinzani kuliko maendeleo ya Watanzania kwa muda wa miaka mitano.
Chadema aliikuta na wabunge zaidi ya 100 akavuruga upinzani tena kwa mtutu wa bunduki akawabakishia mbunge mmoja ndiyo kuimarisha upinzani?Mimi ni chama pinzani na upinzani upo kwenye damu
Ila hoja za kijinga nitaendelea kuzipinga hata zikitoka kwa anayeaminika kwa wapinzani
Wainzani inatupasa tuwe na viongozi wanaoona mbaali sana kuliko kama huyu mleta uzi
JPM ndiye aliyeimarisha upinzani kwa sababu za ama alikuwa anakusudia ama kwa bahati mbaya, Yeye mwenyewe alikuwa ni mpinzani ndani ya maccm na ndiyo sababu ya yeye kuisrailiwa
Ni mtu mjinga tu ambaye ameendelea kuponda namna ya siasa za Magufuli, ni watu wajinga tu ambao hawana uono wa mbali
Ukiondoa hiyo miaka ya siasa mnazoziita zilikuwa ni maangamivu na uhalamia wa siasa nchini, leo sasa kiko wapi?
Kina Wembo wanakula bata na maccm halafu mnakaa kusingizia JPM
Wehu kabisa huu
Una umri gani dogo pumbavuWatu wenye fikra za kipumbafu kama wewe ndiyo mnasababisha haya matukio yaendelee...
Mnataka kusema Samia ameshindwa kumaliza hili tatizo?
Magufuli alianzisha task force ya TRA, bado ipo?
Mbona mnataka kutuonesha kama Samia ni dhaifu sana!
Sasa aliweza TRA, mnaamini hawezi kuwaondoa hawa watekaji?
Ngoja Samia awanyooshe kwanza.Mwasisi wa maujinga hayo ni yeye.
Hujaelewa wapi we nyumbu?Una umri gani dogo pumbavu
Inasikitisha sana bunge limebaki la chama kimoja, serikali za mitaa zimebeki za chama kimoja.Chadema aliikuta na wabunge zaidi ya 100 akavuruga upinzani tena kwa mtutu wa bunduki akawabakishia mbunge mmoja ndiyo kuimarisha upinzani?
Unaelewa athari za bunge kubaki la chama kimoja??Yaani mmeshindwa kuendesha nchi haraf lawama mnampa mtu mwengine, like wtf bro.
Kwanin hamuwezi ku take responsibility kwenye mambo ambayo yapo kwenye awamu na utawala wenu direct,
Kitendo cha kumlaumu mtu kwa udhaifu wako basi ni totally failure.
Najua mwaka 2025 katika uchaguzi wenu moja ya agenda muhimu ya Samia ni kutokomeza utekaji.
Muulize vizuri ChoiceVariable kilichomkuta Sugu hivi karibuni walipokuwa wanajianda kwa mkutano wa vijana.Kama unazungumzia siasa, Samia amefanya mabadiliko makubwa...
Hakukua na mikutano ya hadhara...
Hakukua na maandamano...
Hakukua na uhuru wa kutukana...
Sasa hivi mumepewa vyote...
Nafikiri mjinga zaidi ni yule ambaye umebaki kumlaumu tu pasipokuchukua hatua yoyote ile kubadilisha hayo unayolalamikia wakati una utimilifu wa mwili na akili.Mwasisi wa maujinga hayo ni yeye.