Watu wenye fikra za kipumbafu kama wewe ndiyo mnasababisha haya matukio yaendelee...Itatuchukua miaka mingi kutoka kwenye hilo alilolianzisha, ni aibu sana sote tulikuwepo wakati hayo yote yanatokea na hatukufanya lolote!
Raisi Mwinyi angekuwa na akili za kipumbafu kama hizi asingefanya mabadiliko yeyote.Tukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.
Mimba ya Magufuli itakutesa mpaka unakufaTukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.
Mabeyo alituuza Watanganyika kwa huyu MkojaniMwinyi ameikuta nchi ambayo kila mtu anamuimba Nyerere...
Ilichukua chini ya miaka miwili tu kubadili kila kitu...
Leo raisi Samia ana miaka minne madarakani, bado hana uwezo wa kubadilisha mabaya ya mtangulizi wake?
Amebadilisha karibu kila kitu...
Mna uhakika ameshindwa kusafisha hilo kundi?
Watu wajinga kama nyinyi ndio sababu hasa haya matukio kuendelea...
Maana wanajua watateka na kuua, lawama atapewa Magufuli...
Ungefanya nini kwa mwehu yule?Itatuchukua miaka mingi kutoka kwenye hilo alilolianzisha, ni aibu sana sote tulikuwepo wakati hayo yote yanatokea na hatukufanya lolote!
Inasikitisha kwa kweliNilijua tu ujinga wa yule mshamba kutoka shamba chato lazima uendelezwe na watawala wengine maana hakuna mtawala ambae hapendi kuona kila jambo linamwendea vizur
Bahat nzur nchi hii wananchi hawana maamuz yoyote
Kubadili uchumi ni rahisi zaidi kuliko kubadili siasa, ndio maana kuruhusu vyama vingi alisubiria mpaka wakati anakaribia kabisa kuondoka madarakani yakafanyika hayo mabadiliko.Raisi Mwinyi angekuwa na akili za kipumbafu kama hizi asingefanya mabadiliko yeyote.
Kwako utekaji ni siasa?Kubadili uchumi ni rahisi zaidi kuliko kubadili siasa, ndio maana kuruhusu vyama vingi alisubiria mpaka wakati anakaribia kabisa kuondoka madarakani yakafanyika hayo mabadiliko.
Visingizio hiviItatuchukua miaka mingi kutoka kwenye hilo alilolianzisha, ni aibu sana sote tulikuwepo wakati hayo yote yanatokea na hatukufanya lolote!
Kama unazungumzia siasa, Samia amefanya mabadiliko makubwa...Kubadili uchumi ni rahisi zaidi kuliko kubadili siasa, ndio maana kuruhusu vyama vingi alisubiria mpaka wakati anakaribia kabisa kuondoka madarakani yakafanyika hayo mabadiliko.
Kikosi kazi kilichoundwa, 4R, maridhiano na vikao vya kila Mara ikulu , yote hayo mlisifu kuwa mambo safi. Sasa hivi lawama tena?Kubadili uchumi ni rahisi zaidi kuliko kubadili siasa, ndio maana kuruhusu vyama vingi alisubiria mpaka wakati anakaribia kabisa kuondoka madarakani yakafanyika hayo mabadiliko.
Lissu kawaambia ukweli ambao ndio mnapaswa kupambana nao. Viongozi wako wa upinzani waliahidiwa uwaziri, ubunge na nusu mkate. Kama huo ndio upinzani mlioujenga basi na nyie mnastahili kuniKila nikifikiria kazi tuliyoifanya kwa jasho na damu kwa miaka 30 kujenge upinzani halafu yule mwovu wa Chato akatumia mabilioni ya kodi zetu kuiharibu kwa miaka minne nazidi kumchukia , waongeze kuni huko kuzimu roho yake izidi kuteseka.
Utekaji ni matokeo ya siasa chafu zilizoasisiwa na marehemu Magufuri.Kwako utekaji ni siasa?
Ninachokiona kwenu ni chuki za kipuuzi kwa Magufuli...
Mnashindwa kujadili ubaya wa Samia kwasababu mlimsifia mwanzoni na sasa amewageuka...
Ninachojua mimi, raisi Samia anao uwezo wa kumaliza utekaji nchini, ni swala la yeye kuamua
Magufuli alikuta nchi imeanza kuathirika na ugaidi na alimaliza.