antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ni kweli,Suluhisho ni KATIBA MPYA na MFUMO MPYA WA UCHAGUZI
Kumbe tatizo lilikuwepo likaachwa na limekuwa mimi nilidhani ni jambo jipya halikuwahi kuwepo.Wakati wa Ben na JK angalau watu walikuwa wanaweza kupata hata nafasi ya kushiriki kugombea, ikifika wakati wa kutangaza matokeo ndio mtiti unaanza, wapinzani walioweza kukomaa na watangaza matokeo baadhi angalau waliambulia chochote, Huwezi kufananisha na kipindi ambacho wagombea hata kuingia tu kwenye nafasi za kugombea ni kivumbi na jasho.
Jipu sio ccm bali ni wananchi wenyewe na ndio maana hadi sasa bado wapo wengi tu wenye mapenzi na hicho chama.Jipu ni ccm hayo makando kando ni vipele vidogo tu.
Wewe akili huna, yawezekana hata ubongo wako uko matakoni na Hilo fuvu lako hapo ndio limejaza mavi tu.NDIYO.
Kwanini mtegemee huruma ya walioshika mpini kuleta mabadiliko???Ni kweli,
Ila Unaanzia wapi sasa kupata hayo wakati walioshika mpini hawataki yote hayo?
'Failed states' huwa zinaanza hivi hivi maana sikio la kufa halisikii dawa
Wajinga sana Hawa.Hawa ni wehu ndugu yangu usijisumbue.
Kwanini mtegemee huruma ya walioshika mpini kuleta mabadiliko???
Mkuu,Wajinga sana Hawa.
Binafsi wabongo wengi hususani Hawa wa kizazi hiki Cha malalamiko huwa nawadharau sana.
Wapumbavuu hawajui wanavyoendelea kulaumu awamu iliyopita kwa makosa yanayofanyika awamu hii ambayo kimsingi yanazuilika, automatically hapo wanaipa freedom of accountability serikali ya Samia... Yaani atafanya chochote anachojiskia akijua fika kwamba lawama zote zitaelekezwa kwa Magufuli... Sasa si ni uwendowazimu huo
Wewe mbona unatukanatukana tu hovyo??....Watu hawataki maneno hewa, watu wanajudge kulingana na matukio yanayotokea.Mwinyi ameikuta nchi ambayo kila mtu anamuimba Nyerere...
Ilichukua chini ya miaka miwili tu kubadili kila kitu...
Leo raisi Samia ana miaka minne madarakani, bado hana uwezo wa kubadilisha mabaya ya mtangulizi wake?
Amebadilisha karibu kila kitu...
Mna uhakika ameshindwa kusafisha hilo kundi?
Watu wajinga kama nyinyi ndio sababu hasa haya matukio kuendelea...
Maana wanajua watateka na kuua, lawama atapewa Magufuli...
Wewe umefanya nini?? Au wewe ni Mkenya au Mganda?? Hao wabongo unaowasema na wewe upo humohumo- tabia hizohizo..Wajinga sana Hawa.
Binafsi wabongo wengi hususani Hawa wa kizazi hiki Cha malalamiko huwa nawadharau sana.
Wapumbavuu hawajui wanavyoendelea kulaumu awamu iliyopita kwa makosa yanayofanyika awamu hii ambayo kimsingi yanazuilika, automatically hapo wanaipa freedom of accountability serikali ya Samia... Yaani atafanya chochote anachojiskia akijua fika kwamba lawama zote zitaelekezwa kwa Magufuli... Sasa si ni uwendowazimu huo
Kwahiyo kwa akili yako,Wewe mbona unatukanatukana tu hovyo??....Watu hawataki maneno hewa, watu wanajudge kulingana na matukio yanayotokea.
Magufuli ndo aliongeza nguvu za serikali kuharibu chaguzi...mtihani wa kwanza wa Mama ni uchaguzi wa serikali za mitaa...Vipi karekebisha chochote??Kaishaharibu
Kifo ni kifo tu, Drama
Amecha maovumengi sana, karibu Kila Nyanja, Mungu Tunaomba Huruma Yako AminaTukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.
Mjane wa Marehemu waumia mwenyeweKwa kuwa nyumbu hawezi kutumia SGR wala umeme lazima awe na mawazo ya kipumbavu kama yako
SahihiTukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020.
Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao hayana maana na yanaweza kupuuzwa bila consequences zozote. Jenga utakavyoweza kujenga lakini msingi muhimu kuliko wote wa taifa bora ni jinsi gani raia wanavyojiongoza kwa maamuzi yao ya wenyewe ya kidemokrasia yanayoheshimiwa na wote.
Kuhusu Mimi nimefanya nini? swali zuri sana.Wewe umefanya nini?? Au wewe ni Mkenya au Mganda?? Hao wabongo unaowasema na wewe upo humohumo- tabia hizohizo..
Kama hamjui nini Cha kufanya jifunzeni hata kwa majirani zenu hapo, kwanini serikali yao inaweheshimu na haiwezi kufanya maamuzi ya kipuuzi huku raia wao wakiwa wanashuudia.Mkuu,
Hili ni jukwaa huru. Kama una mawazo ya kujenga yanayotekelezeka yaweke hapa, yumkini yanaweza kuokoa hiki kizazi kutoka kwenye makucha ya wetekaji, wezi, wanyang'anyi,... na machawa wao