fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
songa ana nyimbo inaitwa UONGO...inafanana mistari na hii ya muanzisha madaThis should be dedicated to S.O.N.G.A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
songa ana nyimbo inaitwa UONGO...inafanana mistari na hii ya muanzisha madaThis should be dedicated to S.O.N.G.A
Naona Kama unanung'unika bure, Sevilla haikuletwa na Simba Tanzania, Morrison aliletwa na Yanga Simba wakamuona. Ninachosema mm Kiko wazi, Kama Yanga ile ya Jana iliweza kutoka sare na kuifunga Simba 1-0 Basi Yanga hii ya Leo Kama itapata kocha mzuri, matunzo, mishahara kwa wakati na posho mbalimbali inao uwezo wa kuifunga Simba 5-1.Mtateseka sana na kubaki kutoa visibgizio kama sio simba kucheza na vita msingewaona hao wachezaji, kama sio simba kuwaalika asante kotoka msingeona wachezaji , kama sio simba kucheza na sevilla msingetafuta ushirikiano nao hii inaonyesha kila simba anachofanya mnaiga hamna jipya
Mkuu Kama mwaka Jana walikuwa wazee jee mwaka huu siwamekuwa wazee zaidi? Au nalo hilo hujui kuwa uzee unaonyezeka na miaka? Kwao huu Ni msibu wa kuingia Kama sub tu wakati wakikaribia kutundika daluga. Lakini wacha ligi ianze halafu turudi Tena kwenye huu uziKwahio Msjimu Ulioisha Simba Haikucheza Viwanja Vya Mikoani? Au Unaowataja Kwamba Niwazee Hawakuwa Wamezeeka? Hako Kausajili Kako Kanusu Timu Nzima Ndokamekupa Kiwewe Chakuja Kujigamba Hapa Jukwaani? Hao Kinamukoko, Kisinda, Farid, Waziri, Moro, Feisal, Kaseke, Yacouba, Kibaya, Mwanyeto Unataka Kuwaweka Juu Yakina Joash? Mkude? Bwalya? Chamason? Miquison? Morison? Ajib? Kagere? Boko? Kahata? Wawa? Kapombe? Tshabalala? Ebu Kalale Tena, Huwenda Unaota Mzee,
Kutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo nilivyotumia kufikia utabiri huu Ni kuwaangalia Kagere, Boko, Mkude, Kapombe, Nyoni, Wawa ambao Ni wazee Sana lakini pia hawana jipya.
Nawaangalia pia akina ndemla, shabalala, kamagi, HD, Ajibu, Hawa nao Ni walewale waliosumbukiwa na Mbao, Kagera, Mtibwa, mwadui na Yanga mbovu iliyokuwa na misukosuko mingi msimu uliopita. size yao wachezaji hawa walikuwa akina Ali Ali, Ali Mtoni, Ngassa, Shabanii, na Molinga waliondoka.
Siwaoni wachezaji wa Simba watakaoweza kushindana na akina Nondo, Moro, Mauya, Yacoub, Sarpong, Balama, Tusilla, Mukoko, Ninja, Wazir Jr, Niyonzima, Toto, Farid, ....
Wale wazee wa Simba wakikanyagwa kwenye mechi na Ruvu shorting na Ihefu kwenye viwanja vibovu majeraha yao yatawaweka nje robo ya msimu kwa uzee.
Samahani jamani kwa utabiri huu kwa wale nitakao wakwaza.
Hv una akili timamu? Mara ya mwisho yanga kuifunga simba kwa idadi hio ya magoli UNAYOIOTA ilikuwa lini? YANGA MMEBAKI MNAOTA TU NDIO FURAHA ZENU. WENZENU MAKOMBE NA USHINDI MFULULIZO TUNA ENJOY. Endeleeni kuota mchana. Mwenyekiti wenu akiwa dodoma bado anamuota MORISSON. Mna stress za miaka kbao. POLENIIIIIIIKutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo nilivyotumia kufikia utabiri huu Ni kuwaangalia Kagere, Boko, Mkude, Kapombe, Nyoni, Wawa ambao Ni wazee Sana lakini pia hawana jipya.
Nawaangalia pia akina ndemla, shabalala, kamagi, HD, Ajibu, Hawa nao Ni walewale waliosumbukiwa na Mbao, Kagera, Mtibwa, mwadui na Yanga mbovu iliyokuwa na misukosuko mingi msimu uliopita. size yao wachezaji hawa walikuwa akina Ali Ali, Ali Mtoni, Ngassa, Shabanii, na Molinga waliondoka.
Siwaoni wachezaji wa Simba watakaoweza kushindana na akina Nondo, Moro, Mauya, Yacoub, Sarpong, Balama, Tusilla, Mukoko, Ninja, Wazir Jr, Niyonzima, Toto, Farid, ....
Wale wazee wa Simba wakikanyagwa kwenye mechi na Ruvu shorting na Ihefu kwenye viwanja vibovu majeraha yao yatawaweka nje robo ya msimu kwa uzee.
Samahani jamani kwa utabiri huu kwa wale nitakao wakwaza.
Sababu zako zote zimejaa utopolo tatizo mkifungwa hamjitathimini kwanini mmefungwa mnatafuta sababu za uwongouwongo hao wazee ndio walikupiga nne.Naona Kama unanung'unika bure, Sevilla haikuletwa na Simba Tanzania, Morrison aliletwa na Yanga Simba wakamuona. Ninachosema mm Kiko wazi, Kama Yanga ile ya Jana iliweza kutoka sare na kuifunga Simba 1-0 Basi Yanga hii ya Leo Kama itapata kocha mzuri, matunzo, mishahara kwa wakati na posho mbalimbali inao uwezo wa kuifunga Simba 5-1.
Sababu kubwa niliyoitoa Ni Simba hakufanya usajiri mkubwa Sana msimu huu hivyo wachezi wengi na kocha Ni walewale waliofunga na Yanga mbovu, Kagera, Mbao, mwadui. Sababu ya pili, Simba Ina wachezaji muhimu wengi ambao Ni wazee ambao Kama atapata jeraha (sprains) kupima kwake Ni kwa polepole sana, siunajua namna viwanja vya mikoani vilivyo vibovu na Simba na Yanga zinavyokamiwa na timu ndogo?, Tatu Yanga safari hii imefanya usajiri mkubwa/mzuri kulinganisha na misimu 3 iliyopita, nne, Yanga safari hii Wana wafadhiri sio Kama Yanga ile ya Zahera, tano, Morrison anaweza asicheze Simba, maana Yanga bado wanaendelea kunung'unika huko FIFA kwa wenye mpira wao.
Msichoelewa hapo n Nini?
Simba pamoja na kuwa na kikosi kipana chenye matunzo mazuri waliokaa pamoja kwa muda mrefu, lakini ilihangaishwa na kikosi cha wachezaji wa kuungaunga na kuanikiza juani wenye njaa wa Yanga hadi pale marefa na TFF walipookoa jahazi.
Walihangaika na akina Ngasa, Yirpe, Ali Mtoni, Ali Ali, Molinga na Morrison. Sasa Yanga Ina wachezaji wa ukweli wasio na njaa wakiwemo akina Mukoko, Tuisila, Yacoub Sarpong, fei,kaseke, nondo, Waziri, Balama, Ninja kule, Lamine huku, Mustafa hapa, Farid,,,,. Najua hata wewe una hofu na Yanga ya msimu huu Ila unajitutumua tu hapa. Yanga hii sio Kama Yanga ileee
Hukumu aliyopewa mbona sijaisikia?Wewe jamaa huwa unaandika utopolo sana!
Hebu tueleze hapa simba ilipata aibu gani sasa..!? Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela