2020/21 Simba atafungwa 5-1 na Yanga

Naona Kama unanung'unika bure, Sevilla haikuletwa na Simba Tanzania, Morrison aliletwa na Yanga Simba wakamuona. Ninachosema mm Kiko wazi, Kama Yanga ile ya Jana iliweza kutoka sare na kuifunga Simba 1-0 Basi Yanga hii ya Leo Kama itapata kocha mzuri, matunzo, mishahara kwa wakati na posho mbalimbali inao uwezo wa kuifunga Simba 5-1.

Sababu kubwa niliyoitoa Ni Simba hakufanya usajiri mkubwa Sana msimu huu hivyo wachezi wengi na kocha Ni walewale waliofunga na Yanga mbovu, Kagera, Mbao, mwadui. Sababu ya pili, Simba Ina wachezaji muhimu wengi ambao Ni wazee ambao Kama atapata jeraha (sprains) kupima kwake Ni kwa polepole sana, siunajua namna viwanja vya mikoani vilivyo vibovu na Simba na Yanga zinavyokamiwa na timu ndogo?, Tatu Yanga safari hii imefanya usajiri mkubwa/mzuri kulinganisha na misimu 3 iliyopita, nne, Yanga safari hii Wana wafadhiri sio Kama Yanga ile ya Zahera, tano, Morrison anaweza asicheze Simba, maana Yanga bado wanaendelea kunung'unika huko FIFA kwa wenye mpira wao.

Msichoelewa hapo n Nini?
 
Kwahio Msjimu Ulioisha Simba Haikucheza Viwanja Vya Mikoani? Au Unaowataja Kwamba Niwazee Hawakuwa Wamezeeka? Hako Kausajili Kako Kanusu Timu Nzima Ndokamekupa Kiwewe Chakuja Kujigamba Hapa Jukwaani? Hao Kinamukoko, Kisinda, Farid, Waziri, Moro, Feisal, Kaseke, Yacouba, Kibaya, Mwanyeto Unataka Kuwaweka Juu Yakina Joash? Mkude? Bwalya? Chamason? Miquison? Morison? Ajib? Kagere? Boko? Kahata? Wawa? Kapombe? Tshabalala? Ebu Kalale Tena, Huwenda Unaota Mzee,
 
Mkuu Kama mwaka Jana walikuwa wazee jee mwaka huu siwamekuwa wazee zaidi? Au nalo hilo hujui kuwa uzee unaonyezeka na miaka? Kwao huu Ni msibu wa kuingia Kama sub tu wakati wakikaribia kutundika daluga. Lakini wacha ligi ianze halafu turudi Tena kwenye huu uzi
 

Wewe jamaa huwa unaandika utopolo sana!
Hebu tueleze hapa simba ilipata aibu gani sasa..!? Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela
 
Hv una akili timamu? Mara ya mwisho yanga kuifunga simba kwa idadi hio ya magoli UNAYOIOTA ilikuwa lini? YANGA MMEBAKI MNAOTA TU NDIO FURAHA ZENU. WENZENU MAKOMBE NA USHINDI MFULULIZO TUNA ENJOY. Endeleeni kuota mchana. Mwenyekiti wenu akiwa dodoma bado anamuota MORISSON. Mna stress za miaka kbao. POLENIIIIIII

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Sababu zako zote zimejaa utopolo tatizo mkifungwa hamjitathimini kwanini mmefungwa mnatafuta sababu za uwongouwongo hao wazee ndio walikupiga nne.
Sevilla walikuja kucheza na simba kwa sababu nyie kiwango chenu kilikuwa kidogo.
As vita walikuja kucheza na simba kwenye mashindano ya klabu bingwa mpaka kocha wenu akaacha kuambatana na timu iringa mkafungwa na lipuli kuonyesha unafiki.
Asante kotoko waliletwa na Simba simba day nn huelewi au ndiyo naongea na manyani wasiojua mpira kazi wanabwekabweka uneducated
 
Watani ni kweli mmesajili vizuri lkn je tatizo la mishahara na posho mtalimaliza? Hili ni tatizo sugu kwenu kwa sasa.
 


JUST RELAX TODAY IS SUNDAY DUDE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…