kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kutokana na usajili unaofanyika kwenye timu zetu, Simba Kuna mechi itafungwa magoli 5-1 na Yanga msimu ujao. Moderator tafadhali utunze pazuri huu uzi kwaajili ya matumizi ya baadae.
Vigezo nilivyotumia kufikia utabiri huu Ni kuwaangalia Kagere, Boko, Mkude, Kapombe, Nyoni, Wawa ambao Ni wazee Sana lakini pia hawana jipya.
Nawaangalia pia akina ndemla, shabalala, kamagi, HD, Ajibu, Hawa nao Ni walewale waliosumbukiwa na Mbao, Kagera, Mtibwa, mwadui na Yanga mbovu iliyokuwa na misukosuko mingi msimu uliopita. size yao wachezaji hawa walikuwa akina Ali Ali, Ali Mtoni, Ngassa, Shabanii, na Molinga waliondoka.
Siwaoni wachezaji wa Simba watakaoweza kushindana na akina Nondo, Moro, Mauya, Yacoub, Sarpong, Balama, Tusilla, Mukoko, Ninja, Wazir Jr, Niyonzima, Toto, Farid, ....
Wale wazee wa Simba wakikanyagwa kwenye mechi na Ruvu shorting na Ihefu kwenye viwanja vibovu majeraha yao yatawaweka nje robo ya msimu kwa uzee.
Samahani jamani kwa utabiri huu kwa wale nitakao wakwaza.