2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

Inamaana kagame anayeshinda urais kila mwaka kwa asilimia 100 ndo kivutio cha marekan kuliko sisi watz ambao rais anabadilishwa kila miaka 10 tz kuwen makin
 
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Mjinga Sana wewe aliyekwambia Netanyahu ni rais nani?
 
Wewe pompo, Netanyau mwaka Juzi alizuru Kenya
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom