Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
 
Hahahahahaha akili za kijani kama nzi wa kijani daily wanashinda .......
 
Kuna kila sababu ya kusema kwamba 2020 kura atakazokosa ni zile zitakazoharibika tu ila za UKAWA na VYAMA vingine vyote ni za CCM na Rais Magufuli tu
 
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Siungekunya hata chai bila maziwa kaa hungepata maziwa ndio hii bangi ulivuta kabla ya kuadika hii uchafu hapa ingefanya akili yako angalau iweze kufanya kazi kidogo, najua uchumi ni baya sana lakini kila ukivuta bangi kunywa maziwa , itakusaidia sana tena sana
 
Hata sasa ndani ya Bunge, Wa CCM ni wengi kuliko upinzani, Je kuna tija yoyote?
Sana naona vichekesho,Mipasho na Sifa kwa Mwenyekiti wao, nini cha ziada Wataleta 100% Wakiwa Wabunge CCM!

Hoja zote za Maana na Kufikirisha zinatolewa na Wabunge wa Upinzani.
 
Siungekunya hata chai bila maziwa kaa hungepata maziwa ndio hii bangi ulivuta kabla ya kuadika hii uchafu hapa ingefanya akili yako angalau iweze kufanya kazi kidogo, najua uchumi ni baya sana lakini kila ukivuta bangi kunywa maziwa , itakusaidia sana tena sana

Naona unajitekenya mwenywe halafu unacheka mwenywe
 
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Ushindi utakuwa mkubwa mno kwa CCm lakini hakutakuwa na sherehe za ushindi kwani uchaguzi utakuwa hauna ushindani.
CCM wana ushindi mkubwa mno
 
MZEE_ Kijana na Wewe utaomba Msamaha kama wenzio_  KIJANA_ Thubutuuuuuuuu,Over M.jpg
 
Yaani umeshindwa kuzuia upuuzi wa akili yako? Ilitakiwa usema, kwa jinsi anavyokanyaga katiba, kuvunja mihimili mingine, kutumia NEC CCM, Polisi CCM, Tiss CCM na uaji wa wapinzani. CCM itapata viti vyote vya ubunge na udiwani.
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
 
Hakuna ubabe wananchi wametambua kuwa CCM ndo chama pekee kitakachowaletea maendeleo

Uzuri ni kuwa watu wote wenye akili timamu hawatapiga kura, pigeni kura nyie wasujudu uhayawani kisha mjijazie idadi. Ila ukweli unafahamika mwenyekiti wa ccm hawezi siasa za ushindani na hatakaa aweze. Kwa maneno marahisi ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya dola na hapo ilipo ni kama imeshashindwa kushindana.
 
Back
Top Bottom