Kilio na machozi vimewakuta wagombea, viongozi, wana chama na hata mashabiki wa vyama vya upinzani hasa CDM.Ili limetokea si mjini, vijiji hata visiwani pia nao wameonjo joto la jiwe.Katika KISIWA CHA KELEBE kilichopo jimbo la muleba kaskazini, mkoa wa kagera, wagombea wa CDM pia WAMEFWEKELEWA MBALI. Aliye kuwa anagombea nafasi wa mwekiti wa kijiji bwana SADIKI EVALISIT maarufu kwa jina la SEPE WA SEPE. Jina lakelimeondolewa na msimamizi wauchaguzi ambaye pia ni ofisa mtedaji kijiji kijana AUGOSTNO FRANCO. Kwa madai kuwa hakulejesha fomu. Wakati mgombea alilejesha fomu huku amesindikizwa na katibu wa CDM kata KANYAMBO 'na mkiti CDM kata RAFAEL GOGO NYAMA. Pia aliye kuwa mgombea kitongoji cha FURUZA mwana JEMUS PAULO maarufu BENGAZI naye pia ametenguliwa, kwa madai eti kakosea kuandika jina FURUZA. Je alichokuwa anamaani katika kauli hiyo, ndo hicho ama tusubiri 2020. Lakini tambueni hakuna mlima usio kuwa 'na kilele. Pia jua kuwa hakuna kisicho kuwa 'na mwisho.