LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Naunga mkono hoja, ujinga uliofanywa Na watendaji haukubaliki, Ni heri kuanza upya kwa mtazamo wangu wale watendaji ni wasaliti kwa taifa letu.adhabu ya msaliti Ni kifo full stop.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uandishi huu wewe utakuwa houseboy wa makonda au dotto jamesKwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Kwa hiyo umepata faida gani?Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Ingekufa mngetumia bunduki na mabomu kuzuia tusifanye siasa za ushindani? Athari za kutumia kijambio kufikiri ndiyo kama huu upumbavu unao comment.Chadema na upinzani wamekufa kibudu mapema
State agent
Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.Ukweli mchungu sana huu,wapinzani wakibakia kufanya siasa za Twita,fesibuku na insta 2020 wanapotea kabisa kwenye ramani,yaani baada ya 2020 wasipokuwa makini CDM na ACT kwa huku bara kitakuwa kama chama cha mrema hakina mbunge wala diwani kitabaki na ofisi tu.
Wewe ushaona dalili mapema na bado unaendelea kucheka na nyani lazima uvune mabua,kigogo2014 alionya mapema jamani tar 24 Nov mtalia nyinyi jamaa wamepanga mbinu chafu wao wakamwambia wapo vizuri ,ok ngoja tuone huo uzuri wao.
Nasikitika hadi Heche nae TARIME kasanda watu wamepita bila kupingwa.
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Mahali tulipofika Ni jino kwa jino.tuone nan ataumia zaidi..Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.
Chadema na upinzani wamekufa kibudu mapema
State agent
Kama vyama vingi aliviasis yeye basi ataviua ama atavimaliza, ila kama alivikuta basi yeye muda wake utafika kikomo na vyama vya upinzani vitakuwepo na kuendeleaKwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Sio upole kaka ni waoga sana kwasababu ya aina ya elimu walio lishwa na NyerereNimeamini watanzania ni wapole sana, mambo kama haya yangefanyika Kenya mgekuwa mnausikia moto
Una wakika kwamba ataondoka ikifikapo 2025Lakini tukumbuke ukomo wake 2025 watakuja watawala wengine
Akiipenda yeye inatosha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112]Magufuli atashtukia amejenga nchi ambayo anaipenda pekee yake.. [emoji1787][emoji1787][emoji23]
TUTAONA, KAMA MNADHANI NCHI HII NI YENU? MNADHANI RAIA HATUNA AKILI? BILA UPINZANI CCM ITAFILISI HII NCHI.Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Kikao cha ndani kina watu 50 hadi 100,wanakuja askari 4 kwenye difenda wanawakata mnaaangalia? Uliona video ile ya mto wa mbu askari walikuja na mitutu wakawakataza vijana wazivue samaki? Uliona jamaa walivyokaza na wakaambia askari live jaribu kumpiga jamaa risasi kama utatoka hapa!! Askari alisanda mwenyewe...wanacnhi wakiamua askari wanakimbia.Siasa za majukwaani tunakamatwa hadi vikao vya ndani tunapigwa mabomu sasa mnataka tuingie msituni? Lawama zingine mnazotoa.kwa wapinzani ni za kiduwanzi tu. Ila upinzani ukifa hasara ni kwa wote.
Ila bora iwe ivo tuu.. Maana upinzani huu niwakinafikii nafikii..Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni
Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,
Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020
Mtaenguliwa hadi mtie akili
Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf
Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa
Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema
Halima mdee , analialia tu twitter
Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni
Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani
2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Mpo nanani wanafiki nyie kila Siku kuongea tu nyuma ya keyboard.. Shenz typeIngekuwa tunategemea kufanya siasa za upinzani kwa kupitia vyama vya siasa pekee hapo mngekuwa mmeshinda, lakini tunajiamini vya kutosha na tuko vizuri zaidi.
Naona BAVICHA mmeanza kujifarijiiUpinzani hauwezi kufa, Magufuli anachokifanya ni kubadilisha aina ya upinzani na utakaokuja atatamani kina Mbowe. Dunia hii ya leo sio ya kipindi cha nyuma, Magufuli atatafuta pa kwenda kama sio watu kumfungia kazi.