Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Huo uhuni ndio unauita uchaguzi. Nonsense and Rubbish.
 
Weka namba ya simu na kadi ya mpiga kura
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
 
Wananchi wa Taifa hill,

Wewe nyangumi mmoja huwezi kutukwamisha
Sasa nyangumi wana keyboard kwenye maji mkuu?
Halafu ana kadi ya mpiga kura?

Dharau na kulewa madaraka ni mambo yanayowashushia sana credibility na yatawaondoa madarakani with time.
 
Habarini wanajamvi....

Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,

Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele

Kazi ya kupiga ramli umesomea wapi?
 
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni

Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020

Mtaenguliwa hadi mtie akili

Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf

Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa

Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema

Halima mdee , analialia tu twitter

Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni

Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani

2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
 
CCM wana mkakati mzito sana wa kufuta upinzani kwa MTUTU ,Hpolepole alishasema kwamba Zitto harudi bungeni na hii kweli ni trela movie inakuja sasa 2020 kama wapinzani wakiruhusu huu upuuzi unaofanyika sasa kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa basi wamekwisha hiyo 2020 itakua balaa.
 
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni

Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020

Mtaenguliwa hadi mtie akili

Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf

Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa

Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema

Halima mdee , analialia tu twitter

Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni

Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani

2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Upinzani ukifa kama unavyotamani, CCM Itaanza kuuwa raia. Hata wewe hautakuwa salama. Eti chama kilichotawala tangu 1961 mpaka leo hakiwezi kujenga hoja. Kinawaogopa hata raia wasiomaliza darasa la saba. Kinategemea hujuma kwa wapinzani, matumizi ya polisi, kuteka, kuua, mahakama na jeshi.
 
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni

Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020

Mtaenguliwa hadi mtie akili

Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf

Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa

Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema

Halima mdee , analialia tu twitter

Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni

Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani

2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Ukweli mchungu sana huu,wapinzani wakibakia kufanya siasa za Twita,fesibuku na insta 2020 wanapotea kabisa kwenye ramani,yaani baada ya 2020 wasipokuwa makini CDM na ACT kwa huku bara kitakuwa kama chama cha mrema hakina mbunge wala diwani kitabaki na ofisi tu.

Wewe ushaona dalili mapema na bado unaendelea kucheka na nyani lazima uvune mabua,kigogo2014 alionya mapema jamani tar 24 Nov mtalia nyinyi jamaa wamepanga mbinu chafu wao wakamwambia wapo vizuri ,ok ngoja tuone huo uzuri wao.

Nasikitika hadi Heche nae TARIME kasanda watu wamepita bila kupingwa.
 
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni

Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020

Mtaenguliwa hadi mtie akili

Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf

Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa

Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema

Halima mdee , analialia tu twitter

Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni

Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani

2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .

Maandalizi ya AK47 yameanza !,
 
Upinzani hauwezi kufa, Magufuli anachokifanya ni kubadilisha aina ya upinzani na utakaokuja atatamani kina Mbowe. Dunia hii ya leo sio ya kipindi cha nyuma, Magufuli atatafuta pa kwenda kama sio watu kumfungia kazi.
 
Back
Top Bottom