Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Hata sasa ndani ya Bunge, Wa CCM ni wengi kuliko upinzani, Je kuna tija yoyote?
Sana naona vichekesho,Mipasho na Sifa kwa Mwenyekiti wao, nini cha ziada Wataleta 100% Wakiwa Wabunge CCM!
Hoja zote za Maana na Kufikirisha zinatolewa na Wabunge wa Upinzani.
Hii habari ina ukweli fulani hivi...kama waliweza kwa goli la mkono....je kwa mtutu wa bunduki si majimbo yote yanabebwa tu....labda lile moja alilosema Polepole hata sijui alimaanisha jimbo la nani.
Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Kwa nijuavyo Mimi mtu hawezi kuzungumza Jambo pasi na kulifanyia utafiti kinyume chake Ni kujidanganya.Nafikiri mbali Kama watanzania wataamua kipa ccm ushindi wa kishindo hayo Ni maamuzi yao na dunia haitashangaa hata kidogo kwa kuwa dunia kwa Sasa inakimbia kuelekea mapinduzi makubwa ya kiteknolojia na si nani ameshinda kwa asilimia ngapi.Sote tumeshuhudia kile kilichoitwa uzalendo wa kiongozi aliyepo madarakani mwisho wake Ni udikteta uliokithiri.Ccm ikishinda kwa asilimia 100 hakutakuwa na jipya lolote kwa faida ya nchi kwa kuwa hakutakuwa na upinzani na ikumbukwe kuwa mtu hawezi kujikimbiza mwenyewe then akajisifu kuwa Ni mshindi.
Mkijiletea maendeleo ninyi mwenywe tutajua kuwa mna nia ya dhati kabisa,
Awamu nne imeshindwa lkn awamu hii ya tano ni kiboko,tatizo hamtembei mmejifungia ndani na kuleta ubishi huku mtandaoni tembea Tanzania uone mambo yanayofanyika Mkuu..

Ukiwa ni mzalendo wa kweli wa taifa lako, hautajali kutukanwa, kusimangwa, kukashifiwa, kudhalilishwa na hata kutengwa na kuonekana an enemy of the people kwa ajili ya kuusema ukweli mchungu, watu wasiopenda kuusikia, kwa sababu siku zote nabii huwa hakubaliki kwao, hata Masiya alisulubishwa na watu wake na ni kuteswa kwake, sisi tuliponywa, hivyo ni ukweli kama huu ndio utalisaidia taifa letu.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kwa uchaguzi wa 2020, kwa mujibu wa utaratibu wao CCM, tayari tunaye mgombea wa urais ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Swali la kujiuliza kwa huu upinzani uliopo Tanzania kwa sasa, jee kwa uchaguzi wa 2020 mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ana...
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
www.jamiiforums.com
Hoja zote hizi ni hoja chungu lakini ndio ukweli wenyewe na mimi sitaacha kuusema ukweli hata uwe mchungu vipi, bila kujali ukweli huu utamfurahisha nani na utamuudhi nani as long as ni ukweli.
P
Lazima uambiwe upuuzi wako unaoandika humu ili kujikomba kwa dhalimu hakuna msomaji na wengine walishakwambia. JIONGEZE UBADILIKE instead of destroying your reputation which is already in a very bad shape.
Kwa mazingira tuliyonayo hayaoneshi Kama kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki.Kinachofanyika Sasa nchini Ni Kama kufanya riadha isiyo na pa kuanzia Wala sehemu ya kuishia,hakuna mwamuzi anayeweza kutenda haki na ndiyo maana watu wengi wanafikiri kwa hakika kuwa JPM atashinda kwa kishindo si kwa sababu anakubalika na watu wote la hasha Bali mazingira ya uchaguzi wenyewe yanambeba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.