Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Lakini tukumbuke ukomo wake 2025 watakuja watawala wengine
 
CCM wana mkakati mzito sana wa kufuta upinzani kwa MTUTU ,Hpolepole alishasema kwamba Zitto harudi bungeni na hii kweli ni trela movie inakuja sasa 2020 kama wapinzani wakiruhusu huu upuuzi unaofanyika sasa kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa basi wamekwisha hiyo 2020 itakua balaa.
Tatizo linakuja who is mpinzan?
 
Inawezekana kweli kusiwepo na upinzani lakini upinzani usipo kuwepo jiandae kisaikolojia...maana yake kila kitu kitakacho amriwa kitapita bila kupingwa. Jaribu kuhesabu hasara za kuto kuwepo kwa upinzani
 
Tatizo linakuja who is mpinzan?
Wapinzani waoga na ndio kete wanayotumia CCM,mapinduzi kazi ngumu lazima ujitoe,awamu hii haihitaji mtu wa bla bla ,awamu hii inahitaji upinzanzi Konki ,upinzani wa field yaani ng'wadu kwa ng'wadu kaaa chini sikaiii ,sogeaa sisogei,nitakuua niueee,nitakupasua nipasueee ndio awamu hii inataka,wapinzani wakifanya siasa za twita,fesibuku watuala wa chuya.
 
Mimi so mfuasi sana WA mambo ya jukwaa hili LA siasa,ila najiuliza,
Hivi Kweli tumefikia kufurahia upinzani kupotea? Tusichanganye ushabiki na ukweli,
Kweli hatujui au hatuoni faida za upinzani?
Nyie mnaofurahia upinzani kupotea mnajua madhara yake?
Hivi nyie najua ni wasomi,ila naona mmesoma halafu hamjafahamu,maana unaweza ukasoma halafu usifahamu.
Naona mnaoshangilia upinzani kupotea mmesoma ila hamjafahamu,Sikh mkifahamu mtabadilisha kauli.
 
Wapinzani waoga na ndio kete wanayotumia CCM,mapinduzi kazi ngumu lazima ujitoe,awamu hii haihitaji mtu wa bla bla ,awamu hii inahitaji upinzanzi Konki ,upinzani wa field yaani ng'wadu kwa ng'wadu kaaa chini sikaiii ,sogeaa sisogei,nitakuua niueee,nitakupasua nipasueee ndio awamu hii inataka,wapinzani wakifanya siasa za twita,fesibuku watuala wa chuya.
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi
 
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi
Kwa sasa hayo yote hayatosaidia ,siasa za sasa zinahitaji jino kwa jino mbwai mbwai ng'adu kwa ng'adu.
 
Kwa kinachoendelea sioni Upinzani ukirudi bungeni

Mliwekeza nguvu kubwa kwenye siasa za mitandaoni na kumpinga kila kitu JPM mkasahau yeye kashika kwenye mpini ,

Huu uchaguzi wa serikali za mitaa ni trela tu picha kamili 2020

Mtaenguliwa hadi mtie akili

Mtalia lia demokrasia hamtaipata ,mtaishia Twitter na fb na Jf

Nasikia huko hai jimbo la Mbowe ,CCM imepita bila kupingwa

Hiyo ni trela , wabunge wajanja walikimbilia ccm mapema

Halima mdee , analialia tu twitter

Kauli za makonda kuhusu wabunge wa Kawe,ubungo , na kibamba ni Alarm tu kuwa 2020 hamrudi bungeni

Magufuli amedhamilia kuumaliza upinzani

2025 tutausoma upinzani kwenye maktaba ya taifa .
Kinachoendelea sasa HV,ni ujambazi na ubakwaji wa demokrasia,
Demokrasia ya vyama Vinci,ni mfumo wa gharama kubwa sana,ni bora tuufute,hila hawa wanaotaka kuufuta,sio wasafi,hawaufuti mfumo,ili nchi ineemeke,wao wanaufuta ili wafaidike wao binafsi,
Haya anayofanya Maghu,angekuwa anayafanya Mzee Salim Ahmed Salim,au Warioba,nchi ingekuwa poa,
Lakini yanayofsnywa na Mkulu,pamoja na huyu wa Dar,ni utumbo mtupu
 
Cha msingi tupiganie katiba mpya ata tukisusia uchaguzi ujao bado itatengenezwa ccm b ili mataifa ya magharibi waone bado kuna democrasia ya vyama vingi

..vyama vya siasa ni wadau muhimu ktk kupigania katiba mpya na bora.

..sasa bila kuwepo na demokrasia ya vyama vingi, na uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni, safari ya kupata katiba mpya na bora inaweza kuwa ndefu na ngumu zaidi.
 
Back
Top Bottom