Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mkirindi, tujifunze kupinga hoja kwa hoja. Katika mchango wangu nimeunga mkono kwa hoja mbili, pangua hoja vinginevyoNdugu Pascal, ninakygeshimu sana na posti zako hazinipiti, lakini sasa unaanza kujivunjia heshima na msimamo.
Ndugu kupata nyadhifa kwa kujikomba ama kuwa A LAP DOG wa mwanasiasa ni kujidhalilisha na utaharibu maisha yako.
Ili hilo litokea wabunge wote wawe wa chama chetu, inamaanisha tutaiba kura kwa nguvu yote tena bila haya wala kupepesa macho.
Kuna juhudi nyingi za Raisi zinaungika mkono lakini nyengine haziungiki. Jee do we have the true results of these projects ama ni mijisifa ya kujisifu wenyewe.
Serekali yetu pia imeanza kuja na siasa za ubaguzi wa kidini, ukanda na Nepotism.
Tuwache kujisifia na uwizi tutakao ufanya na mabavu tutakayo tumia kuiba ushindi wa kishindo.
Pole.
Hapa nazirudia tena zile hoja na kukuongezea hoja ya tatu ya kukueleza kwa nini CCM lazima ishinde na CCM itatawala milele Tanzania.
2020!.
Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...
CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
Wanabodi, Baada ya vyama vya upinzani kupata ushindi wa matumaini na CCM kuporwa mitaa na vijiji kadhaa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kumefufua matumaini ya uwezekano wa CCM kushindwa jumla katika uchaguzi mkuu ujao, hivyo kuweka possibility ya CCM kuwa ni chama cha upinzani Tanzania...
Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Topic yangu ya leo ni kutuhusu sisi Watanzania, ili tupate maendeleo ya kweli, ni lazima tujifunze kuupokea na kuubali ukweli halisi ulipo, ukweli bayana, hata huo ukweli ukiwa mchungu vipi, ukweli ni ukweli tuu, na siku...