huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Mamaake ndo amepost hapa? jaribu kuwa na staha basi hata kidogo
Jibu swali acha kuruka ruka.Vijana wa Chadema lini wamekuwa na staha?
Hawa si wameokotwa Barabarani,umuhimu wa Mama ataujulia wap?
Hahahahahaha akili za kijani kama nzi wa kijani daily wanashinda .......Habarini wanajamvi....
Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
HAIWEZEKANI WABUNGE WOTE WATATOKA CCM
Jibu swali acha kuruka ruka.
Jisemee wewe, acha kutusemea.Kwanini ishindikane wakati wananchi wanamkubali JPM kwa 100%
Siungekunya hata chai bila maziwa kaa hungepata maziwa ndio hii bangi ulivuta kabla ya kuadika hii uchafu hapa ingefanya akili yako angalau iweze kufanya kazi kidogo, najua uchumi ni baya sana lakini kila ukivuta bangi kunywa maziwa , itakusaidia sana tena sanaHabarini wanajamvi....
Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Kuna kila sababu ya kusema kwamba 2020 kura atakazokosa ni zile zitakazoharibika tu ila za UKAWA na VYAMA vingine vyote ni za CCM na Rais Magufuli tu
Siungekunya hata chai bila maziwa kaa hungepata maziwa ndio hii bangi ulivuta kabla ya kuadika hii uchafu hapa ingefanya akili yako angalau iweze kufanya kazi kidogo, najua uchumi ni baya sana lakini kila ukivuta bangi kunywa maziwa , itakusaidia sana tena sana
Haya tuliyajua kitambo tu.
Kwamba ubabe ndio kilakitu awamu hii.
Ushindi utakuwa mkubwa mno kwa CCm lakini hakutakuwa na sherehe za ushindi kwani uchaguzi utakuwa hauna ushindani.Habarini wanajamvi....
Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Umemkomesha hasa !Hata sasa ndani ya Bunge, Wa CCM ni wengi kuliko upinzani, Je kuna tija yoyote?
Sana naona vichekesho,Mipasho na Sifa kwa Mwenyekiti wao, nini cha ziada Wataleta 100% Wakiwa Wabunge CCM!
Hoja zote za Maana na Kufikirisha zinatolewa na Wabunge wa Upinzani.
Habarini wanajamvi....
Nionavyo Mimi namna JPM anavyofanya kazi huku wananchi wakimuunga mkono kwa 100% sina shaka kuwa hatakuwepo Mbunge yeyote yule toka chama pinzani 2020,
Wananchi hawako tayari kuwachagua Hata kidogo ni mwendo wa kuchagua CCM 2020 hatutaki kelele
Hakuna ubabe wananchi wametambua kuwa CCM ndo chama pekee kitakachowaletea maendeleo