Uchaguzi 2020 2020 hatutakuwa na Mbunge hata mmoja wa upinzani ni kijani tu

Duu unajiona bonge la mjanja basi huo ndio ushamba mlio kuwa mnaambiwa
 
Watanzania wakiaamua inawezekana wakamtoa Magufuri. Na wala kikundi kidogo cha Jiwe usije kikadhani Watanzania ni waoga. Hizi dharau za Magufuri zikishafika kiwango cha kutovumilika tutaingia mtaani. Hii nchi siyo mali ya Magufuri bali ya Watanzania wote.

Hata kama Watanzania ni wapole au waoga huko anakokwenda watu watavua gwanda la uwoga. Tutamrudisha kwao Rwanda bila kupenda.
 

Inachekesha [emoji23][emoji23] Kinaogopa hata raia ambao hawajamaliza la saba kwa hoja
 


Msifikiri tatizo ni vyama vya siasa pekee ! Tatizo ni Watanzania wenyewe kama mnakubali wafanya wanavyotaka iko siku tukipata viongozi wabaya tutajuta. Wananchi ndiyo wenye uwezo wa kukubali au kukataa
 
Msifikiri tatizo ni vyama vya siasa pekee ! Tatizo ni Watanzania wenyewe kama mnakubali wafanya wanavyotaka iko siku tukipata viongozi wabaya tutajuta. Wananchi ndiyo wenye uwezo wa kukubali au kukataa

Hivi kuna possibility ya kupata kiongozi mbovu kuliko Magufuli?
 
Ni ujinga kufurahia kufa kwa upinza. Ni akili mgando.
 
Hakuna vita chafu na ya kipumbavu kama vita ya kuua upinzani.
 
Hii kauli ya kibaguzi zidi dini.Kwa hiyo wewe unapambana na uislam au
 
Kilio na machozi vimewakuta wagombea, viongozi, wana chama na hata mashabiki wa vyama vya upinzani hasa CHADEMA. Ili limetokea si mjini, vijiji hata visiwani pia nao wameonjo joto la jiwe. Katika KISIWA CHA KELEBE kilichopo jimbo la Muleba kaskazini, mkoa wa Kagera, wagombea wa CHADEMA pia WAMEFWEKELEWA MBALI.

Aliyekuwa anagombea nafasi wa mwenyekiti wa kijiji bwana SADIKI EVALISIT maarufu kwa jina la SEPE WA SEPE. Jina lake limeondolewa na msimamizi wauchaguzi ambaye pia ni ofisa mtedaji kijiji kijana AUGOSTNO FRANCO. Kwa madai kuwa hakulejesha fomu. Wakati mgombea alilejesha fomu huku amesindikizwa na katibu wa CHADEMA kata KANYAMBO 'na m/kiti CHADEMA kata RAFAEL GOGO NYAMA.

Pia aliye kuwa mgombea kitongoji cha FURUZA mwana JEMUS PAULO maarufu BENGAZI naye pia ametenguliwa, kwa madai eti kakosea kuandika jina FURUZA. Je alichokuwa anamaani katika kauli hiyo, ndio hicho ama tusubiri 2020. Lakini tambueni hakuna mlima usio kuwa 'na kilele. Pia jua kuwa hakuna kisicho kuwa 'na mwisho.
 
Wazee wa buku 7
 
Upinzani utakuwepo sema kutakuwa hakuna wawakilishi wa wananchi kutoka upinzani....maana wanawakata wote kinguvu.
 
Kama ni kweli kuna hukumu ya moto huko jehenamu,yataletwa magari ya mafuta kisha yatapinduliwa,kisha ccm wote wataambiwa wakaibe mafuta kiongozi wao atatumwa akachomoe betri,kitakachofuata itakuwa vilio na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…