[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]2020 twende na cutelove, Mimi na familia yangu nakuhahakishia kura za ndio ukiamua kugombea urais
Muislam huyu ACT_wazelendo inamfaa
Bakwata zamu yao ni 2025 kwa mujibu wa utaratibu wa CCM!Sasa ni muda mwafaka kwa profesa Assad kugombea urais 2020 kwa chama chochote tofauti na kile chama kingine
Profesa kwenye kipindi chake amesimamia ukweli na kama ni uzalendo ameuonyesha hadharani kuliko bwana yule
Profesa karibu kwenye siasa,wananchi wanakupenda,wameona,wewe ndo mkombozi wa nchi hii,kila mtu ameona juhudi zako za kufichua zile trillion na kilichotokea baada ya kuunyoshea kidole ule mhimili
2020 twende na Assad,Mungu pamoja nawe
Asad akiingia siasa, ataokotwa kwenye fukwe day 2, mwacheni mzee wa watu.Bora muende na mimi Victoire. Assad acha akasahihishe Booklets.
Muislam huyu ACT_wazelendo inamfaa
Inawapangia watu wote!Ina maana ccm ndo inawapangia Bakwata