Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,661
Morali yao iko juu sanaMisri sasa rasmi ni 'title contenders'....
timu nyingi kwenye hii hatua zikishafungwa huwa ni vigumu kwao kuchomoa na kushinda ila kwa Misri hili limewezekana.
Kweli Aisee, ila Naona Kwa Hawa Mafarao Inaweza Ikawa Ndo Safari Yao Wenyeji Maana Hapa Ndo Watapata Kipimo Halisi Cha Ubora Wao Maana Hawajakutana Na Vigingi Kama Alivokutana Navyo Farao...Mwanzoni Wakati Michuano Inaanza Niliwadharau Sana Hawa Mafarao Na Kiungo Wao Elneny Mpigwa Benchi Kule Arsenal [emoji23] Lakini Wanazidi Kuniprove Wrong Tu Sasa.Wajiandae kisaikolojia, mwenyeji nae anabebwa sana
timu Za kiarabu huwa zina tabia mbovu sana ya kutafutia wenzio kadi
Hawa Waarabu Sina Timu, Yeyote atakaye pigwa sawa, Ila Egypt Akipigwa Itapendeza Zaidi
Mnapita kwenda nyumbani.
Kama kawaida Senegal Vs Eq. GuineaHivi huu usiku kuna game?
Mwehu huyo, watu tunapenda mpira yeye anawaza ubaguzi tu. Hivi misri ya 2006 hadi 2010 kama mtu taifa lako halipo afcon kwanini usiishangilie?
North Africans mara nyingi wanajiona sio Africans..., Hizo timu huwa nazishabikia World Cup tu ila sio African Nations; Na historically waarabu walikuwa na gamemanships sana; Huu Upuuzi wanaofanya Cameroon sasa Waarabu ndio ilikuwa tabia zao...Kwanini hushabikii timu za waarabu? Tatizo nini chief?
Je wakikutana world cup na moja ya timu ya ulaya/amerika utaenda upande wa nani?
Kafuatilie kwenye ligi zao, hao waarabu ni wa kawaida tu wala hawana cha maana.
Pira linapigwa leoHawa Senegal wanajambo lao
Huyu SERGIO MANE anatoka nchi gani ndugu [emoji1787][emoji1787]Je Sergio Mane atapanda ndege au atabaki kama mwenzake Mo Salaah
HakikaPira linapigwa leo