2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Well done Egypt, we deserve this win 💪.

Thank you Mo Salah, Thank you again 👏

Tukutane Nusu Fainal 🚀 vs Cameroon

We know it gonna be tough game vs Home Team 👐
 
Wajiandae kisaikolojia, mwenyeji nae anabebwa sana
Kweli Aisee, ila Naona Kwa Hawa Mafarao Inaweza Ikawa Ndo Safari Yao Wenyeji Maana Hapa Ndo Watapata Kipimo Halisi Cha Ubora Wao Maana Hawajakutana Na Vigingi Kama Alivokutana Navyo Farao...Mwanzoni Wakati Michuano Inaanza Niliwadharau Sana Hawa Mafarao Na Kiungo Wao Elneny Mpigwa Benchi Kule Arsenal [emoji23] Lakini Wanazidi Kuniprove Wrong Tu Sasa.
 
Historia Nayo Inawabeba Misri Kwenye Hii Michuano....Japo Current Form Ndo Kitu Muhimu Zaidi...Ngoja Tuone Mambo Yatakavokuwa Maana Mpira Bhn Unaeza Shangaa Burkina Faso Ya Traore Ndo Ananyayua Ndoo Hapa [emoji1787]
 
Mimi nimehamia Cameroon baada ya Nigeria yangu kutolewa aisee nitaenda na Burkina Faso na Cameroon kwa sasa Ila kuhama kunaendelea Kwa kuzingatia ushauri wa madaktari humu ndani
 
Mwehu huyo, watu tunapenda mpira yeye anawaza ubaguzi tu. Hivi misri ya 2006 hadi 2010 kama mtu taifa lako halipo afcon kwanini usiishangilie?

Kuna wa2 wanakera sana, akiwachukia waarabu bac atataka wote wawachukie waarabu, akiona unashabikia timu yoyote ya waarabu/waislamu anatamani akupasue kichwa. Lakini kushabikia timu za mabeberu ni kawaida kwao. Huu ushenzi wa kubagua timu kisa rangi/waarabu cjui utaisha lini!
 
Kwanini hushabikii timu za waarabu? Tatizo nini chief?

Je wakikutana world cup na moja ya timu ya ulaya/amerika utaenda upande wa nani?
North Africans mara nyingi wanajiona sio Africans..., Hizo timu huwa nazishabikia World Cup tu ila sio African Nations; Na historically waarabu walikuwa na gamemanships sana; Huu Upuuzi wanaofanya Cameroon sasa Waarabu ndio ilikuwa tabia zao...
 
Kafuatilie kwenye ligi zao, hao waarabu ni wa kawaida tu wala hawana cha maana.

Chuki dhidi ya waarabu haitakusaidia chochote,
hebu niambie ligi ipi inashika no 1 in afrika kwa ubora na umakini kama siyo ya waarabu! Kagoogle utakutana na top 10 zimejaa za waarabu. Alafu unakuja kuwasema hapa eti hao waarabu ni wa kawaida 🤣 huku hapakufai, ni heri ukabakia jukwaa la kimataifa na udini mzee
 
Back
Top Bottom