Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Lolote linaweza kutokeaMara vuuuupu wanasawazisha
Sio tutaRefa nenda kwenye VAR bhana
yani natoka kusifia mtu alafu anaenda kuchomaHuyu Toure anazeeka na utamu wake.
Hawa bukinabe pumbavu zao kweli,wamekaza muda wote mwisho mwisho ndio wameachia😠😡...ila nafasi ipo bukinabe wanatinga fainal
Wamezidiwa kwa maarifa mkuuChildish game play,....poor game plan! They deserve to be punished!!!