yani natoka kusifia mtu alafu anaenda kuchoma
Unaposema wa Burkinabe unakosea. Raia wa Burkina Faso ndio anaitwa BurkinabeHuyu Mane anampindua full back wa Burkinabe kama chapati
Wanashinda mechi hiiKivipi, cha 3 kimeingia
UshanielewaUnaposema wa Burkinabe unakosea. Raia wa Burkina Faso ndio anaitwa Burkinabe
Anafungwa Cameroon hana kikosi cha kumfunga EgyptKesho Cameroon abebwe ili akutane na Senegal fainali
Anacheza soka wapi?Yule shehe wa bukinabe aliescore yuko vizuri sana. Mshkaji namkubali sana
Wanashinda mechi hii
Huo ni mtazamo wako, ila mpira lolote linatokeaAnafungwa Cameroon hana kikosi cha kumfunga Egypt
Uzuri wa Senegal ana mkosi wa kupoteza fainali, mshindi wa kesho ndio atakuwa bingwa!!ππ
Anastahili mkuu, assist plus goal sio kila mtu anaweza fanya