Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ulirudi kwenye hii comment au ulitokomea kusikojulikana...?Bado sijaona wa kuwazuia magiants hawa, (Algeria na Morocco) mmoja wao anaondoka na ndoo, mark my words
Kwa upande wangu nipo na Algeria, i love Algeria......naipa %100 kutwaa ⌛
Mimi pia naliona hilo mkuu- wananifurahisha Sana kwenye eneo la ulinzi- hawana mashimo mengi.Ila Egypt wanachukua ndooo hakuna ubishi
Cameroon sjui njia aliyopitia ni rahisi au sjui nini?! Naona Egypt na Senegal hawakua title contenders, kelele nyingi zilikua kwa Algeria, Nigeria, Morocco na Tunisia.... Egypt na Senegal wamegain momentum taratibu kadri tournament ilivyokua inasogea,.. Cameroon sijaona km kapata challenge ya kutosha this time,nataka nimuone kesho kwa Pharaos then akipita nitamuona pia kwa Msenegali
Pharaoh atokeee
Wajuba mpooo bado naishii kweny hiiKwangu Bingwa wa Kombe hili ni Senegal
Wekeni hii post kwa kumbukumbu
Let us waitEgypt
CameroonWajuba mpooo bado naishii kweny hii
Kwa mpira ule wa Misri wa kupaki basi huku wakitegemea counter attack za Salah wamekwisha. Mwenyeji atapata penati leo 😂Kwaherini Cameroon[emoji16]
Naunga mkono hojaPharaoh atokeee
Alishabadili timu siku nyingiUlirudi kwenye hii comment au ulitokomea kusikojulikana...?
Naunga mkono hojaKesho mapema nipo na Cameroon!
Mwanangu kila chama unaloshabikia linafungwa ujueWanangu wa Misri tujuane
Wajuba mpooo bado naishii kweny hii
Wanangu wa Misri tujuane