The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Wakaze wakaze tusiingie matuta tutalima viazi
Shabiki wa Cameroon, leo upo upande gani?Wao wanahakikisha kwanza hupati goli, kisha wanakupiga counter attack
Senegal 😂🇸🇳Shabiki wa Cameroon, leo upo upande gani?
AhahahHapo hapo namuona Mane kaja kumwambia golikipa hoya nenda golini kadake huyo anakupotosha shauri yako..
Chombo ya tajiri lakiniMtoto hapo kifuan amenikosha kwel
Fainali zilizopita ilipocheza Senegal na Algeria nilikuwa upande wa waarabu, leo tena anacheza Senegal na Mwarabu moyo wangu unatamani Senegal washinde japo mimi sio shabiki yao.Senegal [emoji23][emoji1211]
Senegal wanachezea nafasi
Umegundua nini kwakwe?Huyu refa ni wa wapi?