2021 AFCON Special Thread

Pale mbele kuna watu kama 3 ila wanakimbiza mabeki wote
 
Sema hawa wachezaji wakutoka ulaya awakazi kama ulaya wajinga hawa.
 
Golikipa wa Sierra Leone ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi

View attachment 2077256

Yaani kweli Sierra Leone Inashiriki Afcon Sisi Tanzania Tunabishana na Mikopo na Kiti cha Uspika [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nchi ina Watu Million 7, Tanzania Tuko zaidi ya Millioni 60 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mpaka sasa kwa upande wangu mechi nilizozielewa ni ile ya Ufunguzi Cameroon vs Burkinabe, Algeria vs Siera Leone na hii inayoendelea sasa Nigeria vs Misri.

Misri Wameipoza Hii Mechi ni kama Hawataki kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…