2021 AFCON Special Thread

Mpaka sasa nashindwa kuelewa Kati ya Senegal ,Cameron na Nigeria nishangilie wapi,Senegal naona zamu hii wazinguaji tu
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa Kati ya Senegal ,Cameron na Nigeria nishangilie wapi,Senegal naona zamu hii wazinguaji tu
Mi mpaka sasa ni Team Cameroon na Nigeria ikitokea zimekutana huko mbele ntajua nashabikia ipi.
 
Kuna kila dalili za ma giants kuaga mapema..ngoja tuone game zao za pili.
 
Nigeria ingekuwa na Igalo na Osimhen pale mbele,basi isingezuiwa na timu yoyote kwenye haya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…