Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #401
The Super Eagles,watabeba Kombe...Wametulia Sana..
Nilijua atakuwa Moses Simon
Chama langu wapo njema...nimewaona,wakipepetana na Egypt... Wametulia Sana..Pongezi Kwa Kocha Kwa kuwajengea kujiamini
Nimependa KASI waliyonayo wakati wa kushambulia na wako DIRECT kwenye ATTACKS zao.The Super Eagles,watabeba Kombe...Wametulia Sana..
Labda kwakuwa amefunga goli ndio maana wamempa tuzoNilijua atakuwa Moses Simon
Bado ni mapema sanaThe Super Eagles,watabeba Kombe...Wametulia Sana..
PengineKwasababu Kafunga?
Wana shida kidogo pale mbele ya kumalizia, Egypt kwa ile mechi angeweza kupigwa kuanzia 3.Nimependa KASI waliyonayo wakati wa kushambulia na wako DIRECT kwenye ATTACKS zao.
Hapana nipo nayo bega kwa bega mpaka mwishoKesho msije mkaikana timu yenu
Uko sahihi Mkuu...Napenda sana mpira wa kitabuni,wamecheza kama Mwalimu wao,alivyowalekeza,kuhusu uwezo wa Mpinzani wao,uzoefu wake kwenye michuano na hisitoria yake pia..Hongera Kwa Kocha wao..,Vijana wapya ,na wageni ndani ya Super Eagles,..lakini wameimudu vilivyo mechi yenye tension mno..Kila La Kheri Kwao.Nimependa KASI waliyonayo wakati wa kushambulia na wako DIRECT kwenye ATTACKS zao.
Msosi wa kushiba,unatabirika kwenye sahani,unapouona Laivu Mkuu...Bado ni mapema sana
Umemfuatilia lakini...Mpaka anajipinda na kupata Goli?!?!?Kwasababu Kafunga?
Sawa mkuuHapana nipo nayo bega kwa bega mpaka mwisho