2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Man of the Match

47DEB31E-49CC-4774-9B53-1CE6D43160F4.jpeg
 
Nimependa KASI waliyonayo wakati wa kushambulia na wako DIRECT kwenye ATTACKS zao.
Uko sahihi Mkuu...Napenda sana mpira wa kitabuni,wamecheza kama Mwalimu wao,alivyowalekeza,kuhusu uwezo wa Mpinzani wao,uzoefu wake kwenye michuano na hisitoria yake pia..Hongera Kwa Kocha wao..,Vijana wapya ,na wageni ndani ya Super Eagles,..lakini wameimudu vilivyo mechi yenye tension mno..Kila La Kheri Kwao.
 
Back
Top Bottom