2021 AFCON Special Thread

Sidhani kama waarabu wote hata Kama wakivuka hapa Kama watafika mbali
 
Nimesema angalau Huwa wanapambana mkuu sasa hizo timu za kaskazini world cup zimefika hatua gani? Makundi zinasepa, tena zingine huwa zinatoka Bila hata point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…