Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #801
Watunisia wameanza na spidi kama nilivyotabiri4' Tunisia 1-0 Mauritania
9' Tunisia 2-0 MauritaniaWatunisia wameanza na spidi kama nilivyotabiri
Leo kuna kapu la magoli9' Tunisia 2-0 Mauritania
Zaha anawekwa chini9' Ivory Coast wanapata penati
Frank Kessie anakosa penati, golikpa wa Sierra Leone anaendelea na maajabu yake9' Ivory Coast wanapata penati