BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Udini unakusumbua, na haukusaidii chochote.
Udini unakusumbua, na haukusaidii chochote.
Mpotezeee tu hajui kitu kuhusu michezoHivi unajuwa unachokiongea?? Wapi nimeingiza udini? Basi na FORTALEZA anaeshabikia Algeria pia ni mdini kama ndiyo kigezo cha kushabikia waarabu, na GEORGE AMBANGILE Anaeshabikia ALGERIA pia ni mdini kama ndiyo kigezo chako.
Sikiliza kijana, hufai kuwepo humu, it shows wewe ni mbaguzi na ni mdini.
FORTALEZA , Mwangalie sana huyu kijana asije akaharibu uzi wake kwa ubaguzi.
Kifupi nchi nyingi za Africa ni waislam ndio wengi..
mzabzab, huyu anajuwa anachokiongea? Kushabikia Algeria povu limemtoka, hajui every body na choice yake, eti nimekuwa mdini kwakuwa nashabikia Morocco na Algeria [emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu jamaa sijui katokea bushi [emoji1787][emoji1787] chuki mbaya mno.
Umepigwa mpira ...game mzuri kuangalia. Huyu beki wa bisau encada atalala na viatu maana flank yake inashambuliwa.HT' Guinea Bissau 0-0 Nigeria
Game iko poa imechangamkaUmepigwa mpira ...game mzuri kuangalia. Huyu beki wa bisau encada atalala na viatu maana flank yake inashambuliwa.
Ila jamaa wanajua hawa.
Kifupi nchi nyingi za Africa ni waislam ndio wengi..
Angalia hao ambao sio Waarabu mfano Senegal, Mali, Sierra Leone, Mauritania, Guinea Bissau na Guinea waislam ni wengi sana. Kwahiyo ukishangilia hizo mojawapo utaonekana mdini?
Jamaa jinga sana.