BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Udini unakusumbua, na haukusaidii chochote.
Hivi unajuwa unachokiongea?? Wapi nimeingiza udini? Basi na FORTALEZA anaeshabikia Algeria pia ni mdini kama ndiyo kigezo cha kushabikia waarabu, na GEORGE AMBANGILE Anaeshabikia ALGERIA pia ni mdini kama ndiyo kigezo chako.
Sikiliza kijana, hufai kuwepo humu, it shows wewe ni mbaguzi na ni mdini.
FORTALEZA , Mwangalie sana huyu kijana asije akaharibu uzi wake kwa ubaguzi.