BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umesahau kuna timu za Waarabu na ziko vizuri mno.
Mpaka sasa sina timu maalum nipo kuangalia nadhani zikishaisha game za makundi ndo nitakuwa na timu permanent.
Yaani nahama hama. 🤣
Hivi waneza tutoa kimasomaso ee?Tuungane pamoja na wanaume Algeria
Baadae tuwacheki tuone.Tuungane pamoja na wanaume Algeria
Ubora uko chiniKwamba mechi zote zilikuwa ngumu ama?
Kwani mkuu unatumia kigezo gani kupima ubora??Ubora uko chini
Nampa nafasi mwarabuMechi kali ya leo ni Nigeria vs Egypt, bonge la mechi, mara ya mwisho kuangalia hii miamba ikikutana ilikua Afcon 2010 Nigeria walikufa 3-1, leo mechi ni 50 kwa 50, natabiri sare, ila tutashuhudia mechi nzuri
Angalia wachezaji wanavyocheza kwenye vilabu vyao then fanya comparison na wanavyocheza afconKwa
Kwani mkuu unatumia kigezo gani kupima ubora??
Nafikiri tofauti za kimazingira na hali ya hewa mkuu, angalia wachezaji wanaocheza ligi za ndani mbona wanacheza vizuri.Angalia wachezaji wanavyocheza kwenye vilabu vyao then fanya comparison na wanavyocheza afcon
Zamani akina Etoo, Drogba, Essien mbona walikuwa wanatoka Ulaya na kuja kukiwasha vizuri tuu?Nafikiri tofauti za kimazingira na hali ya hewa mkuu, angalia wachezaji wanaocheza ligi za ndani mbona wanacheza vizuri.
Pia najua utasema mbona euro mashindano yao wako vizuri, ni kwasababu hua wako mule mule yaani mazingira yao ni yale yale. Ukitaka kuamini hilo kama ulifaatilia copa America ungeamini nachokisema maana wachezaji wengi wanaocheza ulaya walikua magarasa.
Hahahahah, unaongelea zamani kupima quality, unaongelea zamani ambapo timu ambozo walikua wanakutana nazo kwenye mashindano ziko dhohofu hali hazina hata wachezaji wanaocheza nje ya mataifa yao.unaongelea zamani ambapo mpira ulikua bado ni sanaa??Zamani akina Etoo, Drogba, Essien mbona walikuwa wanatoka Ulaya na kuja kukiwasha vizuri tuu?