2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Leo kuna mechi tatu

F4149C56-2FDE-40FD-BD5B-1C18117F2695.jpeg
 
Mechi kali ya leo ni Nigeria vs Egypt, bonge la mechi, mara ya mwisho kuangalia hii miamba ikikutana ilikua Afcon 2010 Nigeria walikufa 3-1, leo mechi ni 50 kwa 50, natabiri sare, ila tutashuhudia mechi nzuri
 
Angalia wachezaji wanavyocheza kwenye vilabu vyao then fanya comparison na wanavyocheza afcon
Nafikiri tofauti za kimazingira na hali ya hewa mkuu, angalia wachezaji wanaocheza ligi za ndani mbona wanacheza vizuri.

Pia najua utasema mbona euro mashindano yao wako vizuri, ni kwasababu hua wako mule mule yaani mazingira yao ni yale yale. Ukitaka kuamini hilo kama ulifaatilia copa America ungeamini nachokisema maana wachezaji wengi wanaocheza ulaya walikua magarasa.
 
Zamani akina Etoo, Drogba, Essien mbona walikuwa wanatoka Ulaya na kuja kukiwasha vizuri tuu?
 
Zamani akina Etoo, Drogba, Essien mbona walikuwa wanatoka Ulaya na kuja kukiwasha vizuri tuu?
Hahahahah, unaongelea zamani kupima quality, unaongelea zamani ambapo timu ambozo walikua wanakutana nazo kwenye mashindano ziko dhohofu hali hazina hata wachezaji wanaocheza nje ya mataifa yao.unaongelea zamani ambapo mpira ulikua bado ni sanaa??

Mpira umebadilika sana tazama tactics za makocha mbalimbali, mfano game ya malawi na Guinea, malawi walikua na composure, pass accuracy ya maana na matatizo kidogo kwa finishing, ambapo ukirudi nyuma kwa wakati hua unaousema malawi wasingekua wanafika hata golini....

Mkuu usilinganishe kabisa zama hizi na zile...
 
Back
Top Bottom