Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapigaji hawana umakini, yani wanamuonesha kipa kabs mahali anapeleka mkwajuBado najiuliza hivi ni sasa wapigaji wa penalty hamna au ni nini tatizo???
Maana, kipa kukaa ndani ya mstari kunampa mpigaji advantage zaidi kuliko kipa but why more missing????
Refa anatoa kadi akiwa nje ya uwanja???[emoji119][emoji119][emoji119]HT: Purukushani zinatokea!
Red card inatoka kwa mtu wa bench la Tunisia
Walikuwa bado uwanjan lkn alikuwa ashamaliza mpira half time!Refa anatoa kadi akiwa nje ya uwanja???[emoji119][emoji119][emoji119]
Safi kabisaaaaa mkuuWaarabu wengine out!
Sema Tunisia anaingia 16 bora.... Lkn Kimbembe anakutana na NigeriaSafi kabisaaaaa mkuu
Wale hata wangecheza na Somalia wangefungwaMbona Ghana mapema sana kuaga mashindano
Morocco tu ndio kapangiwa kibonde Malawi.Round 16. Mwarabu kapambanishwa na vyuma