2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Wewe ndio umekwenda mbali zaidi umeingiza hadi udini

Naziheshimu sana timu za uarabuni kwa nidhamu yao ya mpira
Lakini binafsi sizishabikii timu za kiarabu sio kwa sababu ya udini au uarabu wao
Kuna ile dhana kwamba waarabu wana figisu sana ukienda kucheza kwao enzi hizo
Simba na Yanga imekutana sana kadhia ya hawa jamaa
Na hii kwa kiasi kikubwa imesababisha Watz wengi hawazipendi timu za uarabuni kwa kuanini wanafigisu sana licha ya ubora wao

Lakini pia waarabu wana ile dhana kujiona kama wao sio waafrika, yaani hata kama ni waafrika lakini wao ni tofauti na waafrika wengine
Hili linasababisha waafrika wengi ambao sio waarabu kutokuzishabikia timu za kiarabu...... hali hii imejenga tabaka miongoni mwa Afrika na kunakua na ile dhana kwamba mashindano ya Afrika inakua ni kama Afrika vs waarabu
Ndio hiyo unakuta sio Mkongo au Mnaijeria anataka muarabu ashinde makombe ya afrika

Kama ukitembelea mabanda umiza ni rahisi sana kuona hiki nilicho eleza hapa

Hakuna cha figisu, wenzetu wametuzidi maarifa bwana, haya ya figisu yanatokea kwenye vijiwe vya kahawa, kwa mtu anaejuwa mpira hawezi kuwa na fikra za kipumbavu kama hizo eti fitina/figisu 🤣. Ukweli ni kwamba, bado kuna vimelea vya kibaguzi,,,, labda nikuorodheshee comments za kishenzi kutoka kwa wacojielewa na kujitambuwa 🤣

Angalia hapa,

20220130_232255.jpg
20220130_232223.jpg
20220130_232137.jpg
20220130_232022.jpg
20220130_232102.jpg
20220130_231945.jpg
20220130_231859.jpg
20220130_231421.jpg
20220130_231221.jpg
20220130_231137.jpg
20220130_231039.jpg
20220130_230643.jpg
20220130_230446.jpg
 
Back
Top Bottom