Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,741
Ni mapema sana kuwaondoa mchezoni japo lolote linaweza kutokeaKwa heri senegal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapema sana kuwaondoa mchezoni japo lolote linaweza kutokeaKwa heri senegal
Hata hawajalalmika kuhusu penati, wamepiga goli safi bila utata!! Kuna la kujifunza hapoHawa Equitorial Guinea wako serious eeeenh?! Refa kawanyima penalty wameamua kumwonesha kua hata bila penalty wanatoboa tu
Mentality safi kabsa ya kimpira, ingekua hapa kwetu refa angekwidwa na card zingetembea kama njuguHata hawajalalmika kuhusu penati, wamepiga goli safi bila utata!! Kuna la kujifunza hapo
Madhara ya kurudisha mipira nyumaWamerudi tena. Uzembe wa beki
Wewe ndio umekwenda mbali zaidi umeingiza hadi udini
Naziheshimu sana timu za uarabuni kwa nidhamu yao ya mpira
Lakini binafsi sizishabikii timu za kiarabu sio kwa sababu ya udini au uarabu wao
Kuna ile dhana kwamba waarabu wana figisu sana ukienda kucheza kwao enzi hizo
Simba na Yanga imekutana sana kadhia ya hawa jamaa
Na hii kwa kiasi kikubwa imesababisha Watz wengi hawazipendi timu za uarabuni kwa kuanini wanafigisu sana licha ya ubora wao
Lakini pia waarabu wana ile dhana kujiona kama wao sio waafrika, yaani hata kama ni waafrika lakini wao ni tofauti na waafrika wengine
Hili linasababisha waafrika wengi ambao sio waarabu kutokuzishabikia timu za kiarabu...... hali hii imejenga tabaka miongoni mwa Afrika na kunakua na ile dhana kwamba mashindano ya Afrika inakua ni kama Afrika vs waarabu
Ndio hiyo unakuta sio Mkongo au Mnaijeria anataka muarabu ashinde makombe ya afrika
Kama ukitembelea mabanda umiza ni rahisi sana kuona hiki nilicho eleza hapa
Nilisema hapo mapemaSenegal hii mechi anaweza akashinda hata goli 3