2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mbinu za mwalimu Carlos Queroz zimetiki kwa kipindi cha kwanza, Egypt wamecheza kwa tahadhari kubwa huku wakikabia kwenye mid block
 
HT' 0-0

Kipindi cha kwanza, kimekuwa cha aina yake, wakati Cameroon akishambulia bila mipango dhabiti, Egypt wamejitahidi kukaba kwa nidhamu ya juu sana, tukutane kipindi cha pili
 
Kipindi ya pili sisi waarabu tukachukue ushindi wetu hatuendi matuta sisi.
 
Back
Top Bottom