Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hamna kutoboa hapo hahahaa, uzembe wa kota ya kwanza leo ni sawa na ule waliufanya kota ya pili. Imeishaaa hiyooKutokuwa fit pia kwa Lebron na AD kumewarahisishia kazi Phoenix.
Mkuu nakuomba huku...Wewe unaona Phoenix wana kipi cha kumtoa Lakers?
Wooooouuuuzaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu nakuomba huku...
Ahahahaha mkuu alisema phx hawana cha kuwafanya lakersWooooouuuuzaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nakuomba huku...
Kutokuwa fit pia kwa Lebron na AD kumewarahisishia kazi Phoenix.
Kama warriorsKama umefatilia series yote utajua kwamba Lakers walikuwa handicapped.
Otherwise Suns hawana maajabu kama wote wakiwa vizuri.
Warriors wameshafutika Kwenye ramani ya Play off Mzee Wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama warriors
Si amesema lakers wamekuwa handcappedWarriors wameshafutika Kwenye ramani ya Play off Mzee Wangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona Dallas Kaka Leo, Clippers Kamnyoosha MtuMkuu upo? Give me your prediction on game 7 between Clippers and Dallas.