2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Nimeona Reaction Ya Rondo Kwa Kahwi Baada ya Kumis Short ya Mwisho, Dogo Kammaindi Sana Kahwi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Lakers wanajivuta vuta kutoka 27 points down na wamebakisha 13, sidhani kama wataweza kupanda mlima walioubakisha, vinginevyo Phoenix wanashinda hii series 4-2.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1622781692378.jpeg
 
Kutokuwa fit pia kwa Lebron na AD kumewarahisishia kazi Phoenix.
Hamna kutoboa hapo hahahaa, uzembe wa kota ya kwanza leo ni sawa na ule waliufanya kota ya pili. Imeishaaa hiyoo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wapambane na hali zao. Kutakuwa na Bingwa mpya mwaka huu.
Hamna kutoboa hapo hahahaa, uzembe wa kota ya kwanza leo ni sawa na ule waliufanya kota ya pili. Imeishaaa hiyoo
 
Kawh Leonard.[emoji2772] ange chezaa game zote kama alivyo cheza game ya leo hii series ingesha malizika zamani snaa.
 
Back
Top Bottom