Hao Nuggets bure kabisa...clean sweep ni aibu kwenye playoffs, heri hao Phoenix wangekutana na Potrland Trail Blazers. Naamini Phoenix Suns hawawezi kufua dafu kwa UTA Jazz au LA Clippers. Tusubiri tuone, michezo ya mwaka huu haitabiriki kirahisi.
Sio kwamba ninawa-underrate Suns ila West zilikuwepo timu tatu ambazo kwa kweli wali-fluke tu kuingia playoffs nazo ni Nuggets, Mavericks na Grizzlies. Zilizobaki zina uzoefu wa kutosha na sahau regular season, michezo ya playoffs ni habari nyingine kabisa. Suns nakuambia wanatolewa semifinal za West and you can take that to the bank.Usi wa underrate Suns, season hii wako bora sana, walivyowatoa Lakers watu wakasingizia LJ hakuwa fit na wakasema jamaa hawatoboi kwa Nuggets lakini kilichotokea ni aibu tupu. Usije kushangaa hii ndoo wanabeba, halafu Jazz hawana maajabu maana wameshakarishwa mara 3 na Suns
Sio kwamba ninawa-underrate Suns ila West zilikuwepo timu tatu ambazo kwa kweli wali-fluke tu kuingia playoffs nazo ni Nuggets, Mavericks na Grizzlies. Zilizobaki zina uzoefu wa kutosha na sahau regular season, michezo ya playoffs ni habari nyingine kabisa. Suns nakuambia wanatolewa semifinal za West and you can take that to the bank.
Je umeona 76ers walivyotolewa jasho na Atlanta Hawks? Mpaka mwisho wa mchezo Hawks 103, 76ers 100 nq sasa series tied 2-2! Dakika hii tunashuhudia UTA Jazz wakiadhibiwa na LA Clippers na hadi mapumziko Clippers wako mbele 68-44!
Vipi leo Nets atachomoka kwa Bucks?I got new NBA team to celebrate life with... Sun is f*ck unbelievable
Brooklyn Nets - Milwaukee BucksVipi leo Nets atachomoka kwa Bucks?
Yeah? Pole sana! Mwisho wa mchezo Nets washinda 114-108!Game ngumu hii. Ila hawa Milwaukee Bucks ni watu na nusu, Leo naweka mzigo kwao
Yeah! KD just exploded...it is never over till it's over!Brooklyn fought so hard to steal this game from the Bucks. What a performance by KD!!!
If Kyrie is available am sure that will be the end of the road for Milwaukee. James Harden was a flop tonight!Without any doubt Mkuu, hopefully Kyrie will be available in game six.
Kelvin Durant has performed an outstanding game, bonge moja la game Nets won amigo, KD kawabeba sana wenzake to the next gameVipi leo Nets atachomoka kwa Bucks?
Wamekuangusha mkuuBrooklyn Nets - Milwaukee Bucks
Game ngumu hii. Ila hawa Milwaukee Bucks ni watu na nusu, Leo naweka mzigo kwao
KD's rate right now is pretty much higher,.. He did the best to earn his team a winBrooklyn fought so hard to steal this game from the Bucks. What a performance by KD!!!