Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji419][emoji419][emoji419]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa kuona Philly wakitolewa jasho na Wizards.
Lebron ameanza kuisha!!!Referees wameanza kuwabeba LA.
Wizards kuna Beal na Westbrook ulitegemea 76ers ashinde kirahisi tu? Mkuu katika series ngumu raundi hii ya kwanza basi hii ya 76ers Vs Wizards ndio naona inaugumu sana.
Ni kweli Mkuu lakini hawana msaada mkubwa kutoka kwa team members ila wakitie kesho 1-1 basi series itanoga sana. Nataka kuona upset nyingi raundi hii ya kwanza.
Blazers kakalia kuti kavu leo [emoji3][emoji3][emoji3]Duh! Kipigo cha nguvu
Blazers kakalia kuti kavu leo [emoji3][emoji3][emoji3]
30 for Jokic.
40 for Dame.
Nilikuwa Naangalia Hyo game bt why did stotts keep nurk in after 5 fouls when jokic wasn’t even playing?Mda si mrefu game ndio imeisha, nilikuwa nafuatilia. Aisee tumepigwa za uso ni hatari, nilisema hapa endapo Lillard, Melo, CJ McCollum na Nurkic wakiwa vizuri kama game ya kwanza basi tulikuwa tunamaliza mapema kabisa. Ila leo Melo na Nurkic hawakuwa na mchezo mzuri pongezi kwa Lillard na CJ McCollum.
Nilikuwa Naangalia Hyo game bt why did stotts keep nurk in after 5 fouls when jokic wasn’t even playing?
Stotts is a problem [emoji1787][emoji1787]Ndio maana watu wanataka huyu kocha aondoke, timu haichezi kwa ku defense kabisa.
Did u see Kanter tonight[emoji846][emoji846]