2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Wizards kuna Beal na Westbrook ulitegemea 76ers ashinde kirahisi tu? Mkuu katika series ngumu raundi hii ya kwanza basi hii ya 76ers Vs Wizards ndio naona inaugumu sana.
Nimeshangaa kuona Philly wakitolewa jasho na Wizards.
 
Ni kweli Mkuu lakini hawana msaada mkubwa kutoka kwa team members ila wakitie kesho 1-1 basi series itanoga sana. Nataka kuona upset nyingi raundi hii ya kwanza.
Wizards kuna Beal na Westbrook ulitegemea 76ers ashinde kirahisi tu? Mkuu katika series ngumu raundi hii ya kwanza basi hii ya 76ers Vs Wizards ndio naona inaugumu sana.
 
Naam, sahihi kabisa mkuu. Team members hasa kutokea benchi wanawangusha sana, wachezaji wanao anza na walio benchi hawana uwiano mzuri. Pia ata hao starters kuna mtu kama Len na Neto hawana makali ya kutisha, Hachimura nae inabidi akaze. Wizards mpaka wanafika hatua hiyo wanastahili pongezi sana wamejitahidi mno. Beal na Westbrook wamekuwa kwenye kiwango bora kabisa msimu huu.
Ni kweli Mkuu lakini hawana msaada mkubwa kutoka kwa team members ila wakitie kesho 1-1 basi series itanoga sana. Nataka kuona upset nyingi raundi hii ya kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kesho alfajiri kuna mtanange ambao hupaswi kukosa kuutizama kama kweli we ni mpenzi wa basketball. Denver Nuggets dhidi ya Portland Trail Blazers. Hii series sioni watu wakiiongelea ila ni moja ya series kali sana kwenye raundi hii ya kwanza.

Najua kesho Jokic na genge lake watakaza ili nao wapate ushindi, lakin sioni kesho pia wakitoka salama. Lillard, Melo, CJ McCollum na Nurkic hawa jamaa wakiwa kwenye ubora kama game ya kwanza basi Denver kwisha habari yao. Campazzo namuonea huruma sana, mwambieni hii sio michuano ya Euroleague bali ni NBA Playoffs. Awe makini sana maana game ya kwanza alishindwa kabisa kumzuia Lillard akabaki anamshika shika tu.

Kesho tukishida huo mchezo basi Denver itakuwa ndio mwisho wao maana wakija Moda Center tunawazika kabisa.
 
Mda si mrefu game ndio imeisha, nilikuwa nafuatilia. Aisee tumepigwa za uso ni hatari, nilisema hapa endapo Lillard, Melo, CJ McCollum na Nurkic wakiwa vizuri kama game ya kwanza basi tulikuwa tunamaliza mapema kabisa. Ila leo Melo na Nurkic hawakuwa na mchezo mzuri pongezi kwa Lillard na CJ McCollum.
Blazers kakalia kuti kavu leo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mda si mrefu game ndio imeisha, nilikuwa nafuatilia. Aisee tumepigwa za uso ni hatari, nilisema hapa endapo Lillard, Melo, CJ McCollum na Nurkic wakiwa vizuri kama game ya kwanza basi tulikuwa tunamaliza mapema kabisa. Ila leo Melo na Nurkic hawakuwa na mchezo mzuri pongezi kwa Lillard na CJ McCollum.
Nilikuwa Naangalia Hyo game bt why did stotts keep nurk in after 5 fouls when jokic wasn’t even playing?
 
Na At this point let Hollis-Jefferson take Kanter’s minutes[emoji4][emoji4][emoji3526][emoji846][emoji846][emoji854]
 
Back
Top Bottom