Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.Miami kalamba Nyingi tu Mbele ya Bucks [emoji192][emoji192][emoji192]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.Miami kalamba Nyingi tu Mbele ya Bucks [emoji192][emoji192][emoji192]
Great win..but when u r leading the game in last seconds why not call timeout instead of giving opportunity to Heat to foul Giannis for the free throws...??[emoji849][emoji849]Miami kazingua sana, ila bucks wamekamilika sana playoff hii.
Nikola Jokic in this series:Jokic ni hatari
Kwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yaoHiyo sidhani, binafsi Lakers nawapa ushindi in 6 vs Phoenix.
Vs Denver (second round) it will be a bit easy.
Ball Never lie Bro tuwe na subraaa[emoji2957]Kwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yao
Jamaa waigizaji sana wa foul na refs nao wanajifanya hawaoni...Ball Never lie Bro tuwe na subraaa[emoji2957]
Kwa kipi mkuu? Labda kwa msaada wa refs kama kawaida yao
Hii sio argument ya kitaalam mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa waigizaji sana wa foul na refs nao wanajifanya hawaoni...
HawanaWewe unaona Phoenix wana kipi cha kumtoa Lakers?
FT...Suns 100-92 laker...sas n 2-2Leo mtanange mkali kati ya lakers na phoenix sun
Wewe unaona Phoenix wana kipi cha kumtoa Lakers?
Narudia, Hawana 😅😅😅😅Hawana
Bro ni sahihi kbs.Mnaoipa bucks credit jiandaen kisaikolojiaa nets sio yakitoto kiivyo mnavyodhani
kwenye series inayofuata patawaka moto..